ha ha ha ha kongosho wewe ni noma na mchokozi mr charles kachanyikiwa duh na mtu kapata kazi faster, ila interview hii labda muwe wawili tu ila kama ni zaidi ya wawili wanaokuuliza maswali huwezi hii kitu, ni full drama usiwadanganye dada zetu wakafanya hivi aisee wataonekana wote malaya,