Ukilinganisha na Vyuo vingine vya South Africa, sio Tanzania...Mtoa mada na wenzio mnaojifananisha nafikiri mtajifunza kitu hapa....msilinganishe Chuo Kikuu na Colleges, Institute au Shule za sekondari (kuna vyuo miundo mbinu yake ni hovyo kuliko hata Loyola au Alpha High SchoolUbora wa chuo hupimwa kwa output yake katika nchi kitaifa na kimataifa
-uwepo wa wakufunzi bora wenye sifa zisizo shaka
-ubora wa workforce output katika taasis mbalimbali
-reseach consultation kitaifa na kimataifa
-mazingira safi ya kusomea ikijumlisha na equipment zote zinazohitajika kwa kila kada
-impact ya workforce output kitaifa na kimataifa
-interaction ya multiculture kufuata elimu nchini mwako
-ubora wa kozi zako kitaifa na kimataifa ( applicability )
kinachoiangusha ud ni
-miundo mbinu ya zamani ukilinganisha na vyuo vingine vya south africa nk.
ni ukongwe wake lakini pia kina wahadhiri na maprofesa wengi wenye uwezo, ukilinganisha na vyuo vingine kama vile chuo cha kata (udom) chenye maprofesa 2 na tutorial assistants 300!
D.I.T ni institute na sio university
udsm ni chuo bora(kanadahir wanafuzi wazur kitaaluma,kina maprof,na madr.wengi na matutor wachache) kuna vyuo avina maprof na vina dahili wanafunzi vilaza,,,ata waajiri wa kazi ud kwanza,,ukitaka kujua ud bora nenda burund tu,kataje sekuko,saut,teku,kama wataelewa
UD is a nice Uni if u want to unleash ur potential.
mda mrefu sanaa nimekuwa nikisikia sifa za chuo hiki kongwe nchini bila kufahamu sifa hizi hutokana na nini, je, ni ubora wa elimu inayotolewa yaani wakufunzi? ni uzuri wa majengo yake? ni uwepo wa mazingira bora ya kujifunzia yaani lab na equipments? ni hosteli nzuri za kutosha? ni maji safi na salama? je hutokana na ubora wa wanafunzi wanaochaguliwa kujiunga na chuo hicho au ndo cha kale ni dhahabu?
naomba kujuzwa ili nifahamu kwa nini wengi hunishauri kujiunga na chuo hicho na si vingine nchini?
USHABIKI UWEKWE PEMBENI TAFADHALI ili kunisaidia kujua mazingira halisi ya chuo hicho.
Kwa hiyo km wakisema udsm wadairi wanafunzi wenye three na vyuo vingine vidairi wanafunzi wenye dev one and two. Je hapo tutasema kuwa hivi vyuo ni bora kuliko udsm?
Mbona shule za sekondari huwa zinapokea failures kutoka shule za msingi na wanafunzi waliofanya vizuri huwa wanaenda government schools. Je kwa kigezo hicho tuseme kuwa government schools are better than private schools? The answer is absolutely NO coz every one knows kuwa private schools are better than government schools.
Hivyo ubora wa udsm sio matokeo ya kudairi wanafunzi wazuri ndiomana hata Harvard University ni chuo cha kwanza dunian na kinadairi wanafunzi bora zaidi frm all over the world bt ubora wa Harvard University hautokan na kudairi wanafunzi bora bali ni mambo mengine tu km vile research and consultancy, qualities of academic staffs, etc
UDSM bora?nani kasema.....DIT is the beest!
mda mrefu sanaa nimekuwa nikisikia sifa za chuo hiki kongwe nchini bila kufahamu sifa hizi hutokana na nini, je, ni ubora wa elimu inayotolewa yaani wakufunzi? ni uzuri wa majengo yake? ni uwepo wa mazingira bora ya kujifunzia yaani lab na equipments? ni hosteli nzuri za kutosha? ni maji safi na salama? je hutokana na ubora wa wanafunzi wanaochaguliwa kujiunga na chuo hicho au ndo cha kale ni dhahabu?
naomba kujuzwa ili nifahamu kwa nini wengi hunishauri kujiunga na chuo hicho na si vingine nchini?
USHABIKI UWEKWE PEMBENI TAFADHALI ili kunisaidia kujua mazingira halisi ya chuo hicho.
*******tu
Shule nyingi nzuri za private, zinazofanya vizuri, hazichukui vilaza, na zikimchukua kwa bahati mbaya anachunjwa. nazinazochukua vilaza matokeo ni mabaya kuliko hata ya gvt school. Chunguza japo kwa kupitia matokeo
Pumbavuuuuuuuuuuuu
Jaribu kuchunguza watoto wanaoenda shule nzuri za private wengi toka primary school walikuwa wazuri sana wengi walichaguliwa gvt school hawakwenda na wengi wanauwezo mkubwa, angalia selection za kifungilo,marian nazingine kama hizo wanachukua creme. UDSM unaonyeshwa njia,wapi unataka kufika ni uamuzi wako. ndo chuo kikuu sio kila kitu kupewa. Wafundishaji wanajitahidi sana unapewa ufundishe kozi inawatu mia tano ni kazi sana unachoka hata ujaingia darasani, ukilinganisha mazingira na facilities zilizopo utagundua kwamba wafundishaji wa UDSM wanafanya kazi nzuri sana.Kwa hiyo unataka kutuambia kuwa wanaoenda shule za serikali huwa ndio vilaza ila waendao private ndio wanaakili?
Labda nikupe mfano. Hivi unajua karibia kila mwaka ukichukua top three utakuta ni shule za private ndio zimeongoza? Je unataka kuniambia wanafunzi wanaoendaga kwenye shule hizi za private zinazoongozaga huwa wanaakiri kuliko wale wanafunzi ambao walichaguliwa shule za vipaji maalumu km mzumbe,elboru,kibaha, kulakala nk?
La hasha. Ni kwamba hizi shule za private ambazo nyingi zinazong'ara ni za seminari wanajua jinsi ya kumuandaa mwanafunz hata ambaye alikuwa hawezi na akawa mzuri.bt ukienda kwa private schools pamoja na public universities km udsm ni msuri wa mtu binafsi ndio unaomfanya afauru na sio kuwa walimu wanawaandaa vizur wanafunz.
Km unabisha embu tembelea lectures za hapa udsm ndio utaelewa ninachokisema
Jaribu kuchunguza watoto wanaoenda shule nzuri za private wengi toka primary school walikuwa wazuri sana wengi walichaguliwa gvt school hawakwenda na wengi wanauwezo mkubwa, angalia selection za kifungilo,marian nazingine kama hizo wanachukua creme. UDSM unaonyeshwa njia,wapi unataka kufika ni uamuzi wako. ndo chuo kikuu sio kila kitu kupewa. Wafundishaji wanajitahidi sana unapewa ufundishe kozi inawatu mia tano ni kazi sana unachoka hata ujaingia darasani, ukilinganisha mazingira na facilities zilizopo utagundua kwamba wafundishaji wa UDSM wanafanya kazi nzuri sana.