Namba tuu zinajieleza mkuu....
NOTE : bado huwezi toa jibu la moja kwa moja, Ukaaji wa charge wa simu unaamuliwa na vitu vingi, ikiwemo Display Resolution-size and type, Processor, Refresh rate n.k n.k...
Sasa kwa Simu zako wewe Hio Hot 10T tunatarajia aachwe kwa mbali sana na 10i, kwanza battery ni ndogo, pili factors nyingne za matumizi ya charge kamzidi mwenzake..