Nini tafsiri ya ndoto hii

Nini tafsiri ya ndoto hii

janjab

Senior Member
Joined
May 28, 2015
Posts
172
Reaction score
56
Hivi majuzi nimeota kuwa rafiki yangu amefariki, ambaye alikuwa mgonjwa na baada ya ndoto hiyo nilihuzunika sana lakini nilimpigia simu na akasema yupo poa tu.

Je nini maana ya ndoto hii naomba kujuzwa wana jf.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom