Tajiri Tanzanite
JF-Expert Member
- Oct 23, 2016
- 2,966
- 5,558
Hapo vip!!
Jamani usiku huu nimeota ndoto moja ambayo imenitisha sana na mara baada ya kuamka nimejiskia vibaya sana.
Nimeota gafla nipo sehemu kuna viti flani hivi lakini imetengenezwa kwa chuma then sehemu za kukalia katika hivyo vitu imeandika maneno ya Qurani ambayo binafsi mimi sijui maana yake.
Katika ya maandishi hayo kuna ya ranngi nyekundu,blue na mengine sikumbuki rangi ila gafla nikakaa katika kitu hata sikumbuki rangi ila sio rangi nyekundu wala Blue.
Banda ya hapa nikajikuta nimeshika karatasi mkokono lenye maneno ya Qurani lakini yametafririwa kiswahili.
Nakumbuka Neno Mmoja tu miongoni mwa yale yote ila ilikuwa nayasoma kikuQurani then naona tafsiri kwa kiswahili,neno ninalokumbuka nineno liloandikwa lakini tafsiri yake MMungu na walivyotafsiri wameweka double MMungu.
Nawakati nasoma hayo maneno niliona kama nimebadilisha dini kutoka ukristo nakuwa muslamu,so ilikuwa kama nafundishwa dini ya kislamu.
Lakini nilikuwa sina furaha wakati nasoma yale maneno and moyo wangu na roho yangu inaonekana nimebadilisha dini basi tu but sikupenda.
Sasa wadau naombeni tafsiri yake kwasababu binafsini sina mawazo wala ndoto yakuja kuwa muslam hata siku mmoja.