Sio kila ndoto zinaujumbe kwa ajili yetu....na sio kila ndoto inamanisha ndoto kuwa kweli.....nshaota mala kibao nafanya mambo ya maana ila nikistuka toka usingizini.....nakuta patupu.....Ndo ndoto zetu za dunia ya tatu..
Umbali wa mtu na mtu uwa unasababishwa na mambo yasiyopingika kama kuvunjika kwa mahusiano....usaliti....hali ngumu ya maisha....na tabia za baadhi ya akina DUNGADUNGA.....hivyo unajikuta upo dar dada yako yupo bukoba au kigoma na hamjuani kabisaaaa!!....mihemko ikiwatawala ndo hivyo tena.
Sio kila ndoto zinaujumbe kwa ajili yetu....na sio kila ndoto inamanisha ndoto kuwa kweli.....nshaota mala kibao nafanya mambo ya maana ila nikistuka toka usingizini.....nakuta patupu.....Ndo ndoto zetu za dunia ya tatu..
Ni kweli sio kila ndoto,ndio maana nikatumia neno "Mara nyingi" pia binadam tuko tofauti kama wee unaota uongo basi tupo tunaota ukweli, ndo maana hata maombi yapo yanayopokelewa na yapo yasiyo pokelewa.