nyamalagala
JF-Expert Member
- Jun 5, 2016
- 744
- 675
Mkuu mwanaume ni wa kanda ya ziwa na msichana ni wa manyarawakapimane dna labda ni ndugu
hata kama mwenye kujua mtoto ni wa nani ni mamaMkuu mwanaume ni wa kanda ya ziwa na msichana ni wa manyara
Mkuu,unadhani ni maneno gani rafiki yangu ayatumie ili mpenzi wake akubali wakapime DNA maana sio kazi nyepesi kumshawishi.hata kama mwenye kujua mtoto ni wa nani ni mama
Mkuu unadhani in rahisi na ni tamaduni zetu waafrika kufanya hivoAkatest ladha ya dadake akiona sawa ajue huyo dem wake nae ni dadake .
Hakuna utamaduni wa kiafrika, hapo alipomgegeda mtoto wa watu ni utamaduni wa kiafrika.Mkuu unadhani in rahisi na ni tamaduni zetu waafrika kufanya hivo
Mkuu mwanaume ni wa kanda ya ziwa na msichana ni wa manyara
Nimekuelewa mkuu lakini sikukusudia kuonesha ukanda bali nilitaka kuonesha umbali uliopo kati yao wawili na uwezekano wa kuwa ndugu wa damu.Mkuu bado unaimani katika maswala ya ukanda.....mimi nipo dar ila nilizaa na mdada yupo Arusha.....chukulia huyo mtoto niamue yeye na mama yake tusijuane....alafu apate mwanaume mwingine na mm nioe mwingne.....unategemea nini kama sio Mungu siku moja kukuumbua wakagegedana?....Dam nzito kuliko maji....jamaa kesha mla dada yake mwambie hivyo....ni simple tu!.
Mkuu nimekuelewa kwenye hoja zako mbili za awali.lakini ya tatu sijui nilipaswa kuandikaje maana umekosoa uandishi ila hujaonesha ilivopaswa kuandikwa.kama hutijali taja vitu vichache vilivyopaswa kuandikwa vizuri kwani utakuwa umenisaidia kuimarisha uandishi wangu.MOJA:ACHUNGUZE VZURI HUENDA HUYO MPENZI WAKE NI DADA YAKE LABDA BABA YAKE ALICHEPUKA
PILI: INAWEZAKANA ANAMTAMANI DADA YAKE LABDA DADA YAKE ANAA SHEPU NZUR NA NK
TATU" MLETA MADA JIFUNZE KUANDIKA VIZURI
Yaah Mara nyingi tunafahamishwa kupitia ndotoMkuu bado unaimani katika maswala ya ukanda.....mimi nipo dar ila nilizaa na mdada yupo Arusha.....chukulia huyo mtoto niamue yeye na mama yake tusijuane....alafu apate mwanaume mwingine na mm nioe mwingne.....unategemea nini kama sio Mungu siku moja kukuumbua wakagegedana?....Dam nzito kuliko maji....jamaa kesha mla dada yake mwambie hivyo....ni simple tu!.
Pole jamaa yangu, nitakupm tuyajengeWakuu amani iwe kwenu nyote kwa nguvu za RABUKA.
Kama wengi wetu tulivyo, kama una rafiki yako mmeshibana hamkosi kuambiana mambo mengi ya kila nyanja.
Kuna rafiki yangu wa karibu sana na huwa tunashauriana mambo mengi kama ilivyo ada kwa marafiki.
Huyu rafiki yangu ana mpenzi wake na wana miaka miwili katika mapenzi yao.
Juzi aliamua kumwita ili apunguze baadhi ya mambo mwilini na kwa kuwa rafiki yangu yuko geto alilala na mpenzi wake mpaka asubuhi na ratiba ya usiku huo ilikuwa ni kugegedana mwanzo mwiaho.
Wakati wa mapumziko ya ratiba ya kugegeda,rafiki yangu anasema alipatwa na usingizi kutokana na uchovu alioupata wakati wa shughuli pevu.
Sasa cha ajabu wakati amesinzia aliota yuko anamgegeda dada yake wa kuzaliwa nae na katika ndoto hiyo aliota kuwa amekamatwa na mama yake Mzazi wakati wa mgegedo.
Baada ya hapo alishtuka kutoka usingizini lakini akipoangalia alimkuta mpenzi wake ndo yuko ubavuni mwake.
Baada ya ndoto hiyo rafiki yangu aliumia moyoni vibaya sana na hata hamu ya kupiga cha asubuhi njema hakuiwaza tena kwani alijiona mkosefu kupata ndoto ya kugegeda dada yake.Mpaka sasa hana hamu na mpenziwe.
Aliamua kunisimulia hali hiyo ili nimsaidie tafsiri ya ndoto hiyo maana anasema amekosa amani moyoni. Wakuu kama ungekuwa wewe ndo unaombwa ushauri ungemwambia nini juu ya hili.
Karibuni.
1. Ningemshauri aache uzinzianasema amekosa amani moyoni. Wakuu kama ungekuwa wewe ndo unaombwa ushauri ungemwambia nini juu ya hili.
Saa Tisa usikuAliota mda gani (saa ngapi) hiyo ndoto...
Nimekuelewa mkuu japo ni ukweli mchungu1. Ningemshauri aache uzinzi
2. Kuzini ni dhambi
3. Uzinifu ni upotevu
3. Uzinzi ni uchafu
Mwambie akiendekeze kufunua funua hizo maku iko siku atamla hadi dada yake akikosa hao madem zake...
Mkuu umeelewa mada inamzungumzia nani lakiniWewe huwa u.unachungulia Dada zako acha hiyo tabia