Kunguru hafugiki, kashazoea huyo....then hawa "baby, I love u so much" ni wa kuwaangalia kwa macho ya ziada. Ukute anaweka dp ya picha ya mmewe na status nzuri ili kumblind....
kuna jamaa yangu haishi kumweka wife wake kwenye facebook eti hakunaga. wife akawa anamsifia unaona mwenzio kamweka mkewe kwenye mtandao, nikakauka kimya namjua jamaa ana michepuko km shina la muhogo. siku ya siku wife akashuhudia mr hakunaga na mchepuko

Kwa wadada wengi huwa ni tamaa ya pesa, ila wengine ni tabia.....
umbali pia unachangia kama atashindwa kushindana na vishawishi na kujali kuwa ana ndoa anayotakiwa kuitinza na kumuheshimu mume......
Lakini cha kushangaza huyu mdada ana unafiki wa hali ya juu sana pale anapoweka kwenye wall yake nakupenda sana mume wangu, mara sijaona kama wewe, wewe ndio kila kitu kwangu, mara asante yetu wewe ni mwokozi wangu, huku akiendekeza michepuko, .....
USIMTUKANE MKUNGA ANGALI UNAZALISHWA
nadhani umeelewa dunia inahitaji nini kwa wakati gani
angalia sasa na wewe leo umechepuka kwa mumeo na unataka kabisa kumuacha
Utakula Matapishi Yako?
Huyo mme wake kashndwa kumhudumia mkewe,au mkewe ana tabia hyo kitambo,kuna wengne wanaolewa fashion ila they know nothing,ucjikatili kwa kutokuwa na mpango wa kuanzisha serious relationship kwa mifano ya hawa wasiojitambua.