Wadau habari kuna mdogo wangu ana tatizo la kuwa na mate mengi mdomoni hii humtokea Sana akilala usiku na mate haya hutoka kama udenda hivi
Tatizo hili humkumba hata kama atapata usingizi popote Kwa yeyote anaejua tatizo Hili dawa na chanzo chake msaada tafadhari