Nyanda lunduma
Senior Member
- Apr 10, 2015
- 187
- 68
Miaka 24 ujui cha kufanya hapo? Soma kwanza bwana mdogoMimi ni kijana mwenye umri wa miaka 24. Nina mahusiano na mpenzi wangu tulioweka ahadi ya kuja kuoana, ila sasa mwezangu mpaka sasa hivi nikimpigia simu mara nyingi ananiambia nisubiri kidogo nitampigia. Ukimtumia txt hajibu
Nashindwa kuchukua maamuzi yangu sababu mimi bado nipo chuo mwaka wa pili huu.
Naomba msaada wenu wana JF.
Ndio mkuu nimekuelewa, ila sasa nifanye nn mpenzi wang hapokei hata cmu yanguMiaka 24 ujui cha kufanya hapo? Soma kwanza bwana mdogo
Mkuu sijajua kama ameshabadili uelekeo maana, kupokea simu ni tatizo kwakeSema nae tu vizuri.
Mvumilie ipo siku atajirudiMimi ni kijana mwenye umri wa miaka 24. Nina mahusiano na mpenzi wangu tulioweka ahadi ya kuja kuoana, ila sasa mwezangu mpaka sasa hivi nikimpigia simu mara nyingi ananiambia nisubiri kidogo nitampigia. Ukimtumia txt hajibu
Nashindwa kuchukua maamuzi yangu sababu mimi bado nipo chuo mwaka wa pili huu.
Naomba msaada wenu wana JF.
Achana nae unajua wanawake wa siku hizi wakiona unawapenda sana ndo watakutesa sasa we cha msingi mkaushie kama atarudi poa kama akizingua wanawake mbona wapo wengi na daily wanazaliwaNdio mkuu nimekuelewa, ila sasa nifanye nini mpenzi wangu hapokei hata simu yangu
24 hujui cha kufanya? Piga kitabu kitabu dogo hayo mambo utayakuta na kama unaona wanaokushauri mahayawani mfuatilie utoke machozi...Ndio mkuu nimekuelewa, ila sasa nifanye nn mpenzi wang hapokei hata cmu yangu
Asante mkuu24 hujui cha kufanya? Piga kitabu kitabu dogo hayo mambo utayakuta na kama unaona wanaokushauri mahayawani mfuatilie utoke machozi...
Huyo tayari ana mpenzi mwingine, temana nae atakufelisha huyoMimi ni kijana mwenye umri wa miaka 24. Nina mahusiano na mpenzi wangu tulioweka ahadi ya kuja kuoana, ila sasa mwezangu mpaka sasa hivi nikimpigia simu mara nyingi ananiambia nisubiri kidogo nitampigia. Ukimtumia txt hajibu
Nashindwa kuchukua maamuzi yangu sababu mimi bado nipo chuo mwaka wa pili huu.
Naomba msaada wenu wana JF.
Achana naye kwani ni ndugu yako huyoMimi ni kijana mwenye umri wa miaka 24. Nina mahusiano na mpenzi wangu tulioweka ahadi ya kuja kuoana, ila sasa mwezangu mpaka sasa hivi nikimpigia simu mara nyingi ananiambia nisubiri kidogo nitampigia. Ukimtumia txt hajibu
Nashindwa kuchukua maamuzi yangu sababu mimi bado nipo chuo mwaka wa pili huu.
Naomba msaada wenu wana JF.
I never about wanawake wazuriSoma dogo, kila siku wanawake wazuri wanazaliwa.