M MNYAKI MZALENDO Member Joined Jul 1, 2011 Posts 7 Reaction score 1 Jul 1, 2011 #1 Habari za fikra sahihi mada yangu inalenga kufahamu vigezo vinavyotumika kupima umaskini,ila nitahadharishe kwamba, katika kuchangia tusiegemee vigezo vya uchumi na vile ulivyofundishwa darasani tu, tujaribu kushirikisha fikra sahihi juu ya hii mada. KARIBUNI....
Habari za fikra sahihi mada yangu inalenga kufahamu vigezo vinavyotumika kupima umaskini,ila nitahadharishe kwamba, katika kuchangia tusiegemee vigezo vya uchumi na vile ulivyofundishwa darasani tu, tujaribu kushirikisha fikra sahihi juu ya hii mada. KARIBUNI....