Naomba msaada wakufahamu ni nini kazi ya hiki kifaa na namna kinavyotumika.
Nimejaribu kuelewa lakini nadhani lugha imenichanganya kidogo huko mitandaoni.
Kuna mtu kaniletea ajue kazi yake kanikuta na mimi sifaham.
Sina camera nzuri, ila kina antena mbili na kadishi kadogo
Kifaa kimeandikwa.
HIGH-POWER
CLIPPER B/G/N USB ADAPTER
LONG RANGE AND HIGH SENSITIVITY.
kwa chini Katika mabano kimeandikwa
TERNARY PA
Asanteni...!!!
hapo sasa..Kwa nilivyokiangalia kwa haraka, hiki ni kifaa cha kuunganisha point mbili zilizo mbali kwa kutumia wifi.
Umbali wa takriban mita 800 hadi 1Km vitaweza kuunganishwa na hiki kifaa, vikiwepo viwili vilivyoangaliana (line of site) kupitia hicho ki-dishi chake na cha mwenzake.
Kuna vifaa vingine kama hivi vinaitwa NanoStation pia unaweza kuvitumia kuunga network wirelessly hadi kilometa 2.
hapo sasa..
Maana waya wake ni mfupi tuu kama wa antena ya Tv Decoder sasa tukisema kinafanya kazi kwa kuangaliana na kifaa kingine, hapo ndio nakosa kuelewa.
Ni kweli kwa maelezo yake kina boost connection ya wireless ila nisichofahamu ni kivipi na kinaboost kwa ajili ya device zipi?
Nazidi kutafuta majibu ila mtandaoni site nyingi ni zinazouza aina hii ya kifaa bado sijapata inayokielezea kinagaubaga.
Asante nimekupata vizuri. Nilingoja maelezo ndio nifanye installation yake maana imekuja na cd kabisa.. ingawa mchina katawala sehemu kubwa..mkuu, hicho kifaa kinafanya kazi sawa na zile WiFi USB adapter ( dongle ) ndogo kama hii
View attachment 1728571
tofauti kuu ni uwezo wa antenna, icho kidogo antenna ni ya low gain ( 2dB ) so inakava umbali mdogo, mpaka mita 30
iyo yako, antenna ( ilo dishi ) ni ya high gain ( mpaka 36 dB ) pamoja na iyo antenna ya pembeni ( SMA, around 6dB ) so inakava umbali mrefu zaidi,
kwa line of sight kwenye open space inagonga mpaka 1km plus, ila kwa indoor ( ndani ya jengo ) ina range 300m - 400m, inashuka mpaka 150m kutegemea na muundo wa mjengo
zina USB interface unaunga na PC
zote kazi ni sawa, zinaweza rusha 'WiFi' ( access point/hotspot mode ) au kupokea ( station mode )
iyo yako ikiwa kwenye station mode, inaweza pokea WiFi signal iliyo mtaa wa 10 uko
na ikiwa kwenye access point mode (hotspot) , inaweza rusha WiFi signal mpaka mtaa wa kumi uko na ikasoma 'full bars'
Nimefanikiwa kuoata picha yakeView attachment 1728329
Ina usb cable ambayo inachomekwa kwenye hiyo adpter yenye antena hadi kwenye pc, hapo palipo na antena unaweza ukaitoa na ukachomeka cable iliyopo kwenye dish, hivyo ni uamuzi wa kutumia antena au dish.. kingine ilichonacho ni cd na user manual ambayo ni ya kichina kingiUngeweka picha za pande zote ili tuone ports zake na kama kuna waya au connector yoyote pia weka picha
Kwenye networking hiyo inaitwa customer premises equipment (CPE)Naomba msaada wakufahamu ni nini kazi ya hiki kifaa na namna kinavyotumika.
Nimejaribu kuelewa lakini nadhani lugha imenichanganya kidogo huko mitandaoni.
Kuna mtu kaniletea ajue kazi yake kanikuta na mimi sifahamu
Sina camera nzuri, ila kina antena mbili na kadishi kadogo
Kifaa kimeandikwa.
HIGH-POWER
CLIPPER B/G/N USB ADAPTER
LONG RANGE AND HIGH SENSITIVITY.
kwa chini Katika mabano kimeandikwa
TERNARY PA
Asanteni...!!!
Hapo nimeelewa mfano wa hiyo ISP ni kama hiz public wifi kama za vyuoni au katika mikusanyiko ya watu nk... vp kwa hotspot za simu zetu.?Kwenye networking hiyo inaitwa customer premises equipment (CPE)
Kazi yake ni kupokea WiFi signal toka wireless ISP source. Tofauti ya device hiyo na WiFi adapter iliyo built-in kwenye computer yako ni RX na TX power gain, yenyewe ina high gain antenna hivyo inaweza kuunganisha ukapata signal quality nzuri