Mwanzoni kabisa niliwaambia watanzania wenzangu hasa wenye uchungu na nchi yao kupitia hapa jamvini kwamba, Magufuli alikua akikimbizana na Vidagaa huku mapapa yakilala fofofo.
Baadhi walinibishia ila waonaombali walikubaliana na mimi.
Walibisha walitoa kisingizio cha muda wakanambia wiki chache tu subiri uone majipu makubwa yakitumbuliwa hivi karibuni! Sasa nawauliza je wanao ujasiri wa kuzungumzia Muda tena?
Leo nina swali jepesi kabisa kwa Mh Pombe, je ni kweli anatumbua majipu na sio vichunusi? Na kama anatumbua majipu kwanini hataki wananchi wapate taarifa kamili bungeni kwa uwazi? Kwanini anata taarifa zipikwe kwanza ndo zitufikie?