Mjasiria Akili JF-Expert Member Joined Sep 24, 2012 Posts 823 Reaction score 372 Jun 28, 2013 #1 Hivi vikaratasi walivyikanya hawa maraisi na wake zao vinamaaniasha nn?
M Mkeshaji JF-Expert Member Joined Jan 7, 2011 Posts 4,258 Reaction score 1,418 Jun 28, 2013 #2 Itakuwa ni location/position za wahusika waliosimama hapo kama walivyopangiwa na wenyeji wao.
N Ngekewa JF-Expert Member Joined Jul 8, 2008 Posts 7,705 Reaction score 1,288 Jun 28, 2013 #3 XFISADI said: Hivi vikaratasi walivyikanya hawa maraisi na wake zao vinamaaniasha nn? View attachment 99962 Click to expand... Mambo ya protocali hayo! Kwa vile ofisa wa pprotokali hawezi kufika karibu na Obama hivyo hapo chini ni majina ya wahusika na mpangilio wa kusimama!
XFISADI said: Hivi vikaratasi walivyikanya hawa maraisi na wake zao vinamaaniasha nn? View attachment 99962 Click to expand... Mambo ya protocali hayo! Kwa vile ofisa wa pprotokali hawezi kufika karibu na Obama hivyo hapo chini ni majina ya wahusika na mpangilio wa kusimama!
Shine JF-Expert Member Joined Feb 5, 2011 Posts 11,481 Reaction score 1,373 Jul 2, 2013 #4 Mh! hapo mimi mgeni mweee
Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,154 Reaction score 13,267 Jul 3, 2013 #5 security alert?