Naomba ni kuambie kuwa vituo hivyo si academy haswa ila ni kama tuition center,
Watakuwa wanavutumia kwa technical seminar or training for coaches and referees
Na kambi za timu za taifa.
Kiufupi ni karume iliyowekewa facilities zote ikiwemo hostels ,Ground and gyms.
Kuhusu ukaribu ni kwamba TFF walitoa tangazo aliyenaeneo tukajenge hizo kitu kwa dar makonda akatoa eneo hivyo hivyo kwa Tanga.