Mtundu wa Tech
JF-Expert Member
- Aug 19, 2019
- 644
- 614
Kutakatisha fedha
Kutumia fedha ya serikali uliiyoipa kwa njia isiyo halali kwenye shughuri halali... mfano unaiba fedha serikali iliyotengwa kwa jambo fulani unakuja kufungulia showroom na unalipa kodi zote
Nipo tayari kurekebishwa
Upi ni upuuzi hapo?Unaleta upuuzi hadharani?,hakika wapuuzi hamna maana,endelea na upuuzi wako
Sent using Jamii Forums mobile app
Nazani hii inaweza kusababisha mfumko wa bei nchiniSio lazima iwe fedha ya serikali tu mkuu,ni kupata pesa kutoka katika chanzo chochote kile kichafu/illegal kama vile ujambazi,rushwa,magendo,ugaidi etc na kuzitumia/kuziingiza hizo hela katika biashara/mzunguko halali(kuanzisha duka,kujenga nyumba ya kulala wageni etc
Nipo tayari kurekebishwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Stress sio nzuri kwa maisha yako.Unaleta upuuzi hadharani?,hakika wapuuzi hamna maana,endelea na upuuzi wako
Sent using Jamii Forums mobile app
NAFIKIRI umekoseaKutakatisha fedha
Kutumia fedha ya serikali uliiyoipa kwa njia isiyo halali kwenye shughuri halali... mfano unaiba fedha serikali iliyotengwa kwa jambo fulani unakuja kufungulia showroom na unalipa kodi zote
Nipo tayari kurekebishwa
Ok... ungesema nimekosea nini/wapi na nilitakiwa niseme nini kilicho sahihi...
IHabari wa JF!!
Kila nikipitia makala mbali mbali huwa nakutana sana na maneno haya "Uhujumu uchumi na Utakatishaji fedha".
Naulizia haya maneno yanamaana gani na yanatumika kwa kitendo gani kibaya katika jamii yetu?
Maana neno utakatishaji fedha yaani money laundering hili naona kama linaeleza kuzisafisha zile fedha badala ya kutumia vibaya. Sasa wengi wetu tukikosea kidogo na tukikamatwa na vyombo vya usalama huwa hatukawii kuambiwa kuwa tumetakatisha fedha au tumehujumu uchumi.
Sasa mimi nataka kufahamu maana ya hayo maneno mawili na mifano yake, isije nami nikakamatwa kisha nikaambiwa hivyo wakati sijui chochote kuhusu uhujumu uchumi au utakatishaji fedha.
Nitoeni matongotongo wanaJF ili nielewe maana ya haya maneno.
Sent using Jamii Forums mobile app
TtvvgvxxxHabari wa JF!!

GfhjbvvgViNakumbushia tu rushwa ya ngono nayo ni uhujumu uchumi@Mtundu wa Tech,
Sent using Jamii Forums mobile app
TI had lvggttvMtundu wa Tech,
Kutakatisha fedha
Kutumia fedha ya serikali uliiyoipa kwa njia isiyo halali kwenye shughuri halali... mfano unaiba fedha serikali iliyotengwa kwa jambo fulani unakuja kufungulia showroom na unalipa kodi zote
Nipo tayari kurekebishwa
Mbona kama unatakatisha lugha..??