Millionaire Mindset
Member
- Apr 19, 2018
- 83
- 116
Good! nimevutiwa sana na narrative yako.Pesa ni MOJA ya matokeo unayopata baada ya KUTOA kitu fulani chenye THAMANI katika maisha ya MTU fulani.
Hicho unachotoa hutegemeana na kitu ulichonacho.
Una ujuzi fulani, utautoa ujuzi huo na matokeo yake utayapata kulingana na tafsiri au mtazamo wako juu yake. Yaani kama unaamini mimi ni mtu wa IT na nakutengenezea security system ili unilipe pesa, maana yake ni kwamba ujuzi huo umeupa THAMANI ya pesa, japo unaweza lipwa kingine tofauti na pesa.
Kwa mfano huo, wapo wanaopata pesa kiulaini na wapo wanao angaika sana kuipata hiyo pesa.
Kutokana na uhitaji mkubwa wa pesa, zipo dhana nyingi zimejengwa kuhusu upatikanaji wake na ndiyo matokeo ya wengine kwenda kwa waganga na wengine kujiunga katika makundi fulani ili kuzipata.
Naomba nikupe jibu lako kwa mtazamo wangu na imani yangu.
Pesa haitafutwi. Pesa inakufuata wewe kutegemeana na THAMANI ya kile ulichonacho.
Wengi waliofanikiwa katika maisha ni wale waliotatua matatizo fulani ya watu katika jamii.
Wale watu walitumia muda na nguvu kufanyia kazi changamoto za watu au kundi fulani baada ya hapo walipata MATOKEO kulingana na THAMANI ya KITU walichokitoa kwa watu, ndiyo maana hapo mwanzo nimesema pesa ni MOJA ya MATOKEO.
Watu hao hawakupata pesa tu, kuna vingine vingi walipata kupitia kutatua changamoto hizo za watu, heshima, uwepo wao kutambulika na hata thamani ya kile walichonacho kupewa kipao mbele katika jamii husika.
Ukijua thamani yako, ukatambua uwezo halisi ulio nao, na ukaanza kutatua changamoto za watu katika jamii kwa kutumia uwezo wako binafsi pesa zitakufuata na hutokaa utafute pesa.
Sent from my E2333 using JamiiForums mobile app
Comment Bora kwanguPesa ni MOJA ya matokeo unayopata baada ya KUTOA kitu fulani chenye THAMANI katika maisha ya MTU fulani.