Nini maana ya Opportunity Cost?

Otto jr

Member
Joined
Apr 22, 2019
Posts
94
Reaction score
79
Naamini wote ni wazima wakuu, kwa wenye ufafanuzi mzuri kuhusu maana ya Opportunity Cost na pia inakuwaje karibuni wote wakuu.
 
opportunity cost...best arltenstive for gone

una shilingi mil 10

unataka ununue gari au unataka kujenga

kama ukiamua kununua gari it means umesacrifice zile benefit ambazo ungezipata kama ungejenga....

those befits sacrificed is what we call opportunity cost

I stand to be corrected

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Simple and clear...

Sent using Jamii Forums mobile app
 

[emoji848] yeah sawa saw Chief
 
Huko sahihi kabisa ikiwa na maana fursa ya kununua gari inamgharimu kuendelea kuishi nyumba za kupanga na kulipa kodi. Sawa kapata fursa lakini inagharama yake!
 
Good! Upo sahihi.
 
Uko sawa kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaaa mfano rahisi kabisa huu
 
Hio ni ile hali ya kua na option mbili unatakiwa uchague moja uache nyingine kulingana na wewe mwenyewe unavyoona umuhimu wa hio moja kuliko nyingine mfano kuna mechi inacheza uwanjani at the same time kuna tamasha la muziki sehemu hapo huwezi kuvifanya vyote kwa wakati mmoja ni lazima u-sacrifice kimoja sasa hio ndio opportunity cost

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanafunzi wa Leo wataanza kutuchosha na maswali mwisho watataka tuwasovie kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…