Nini maana ya ngozi 'Ku glow'?

oooh!!!! nimeelewa.

Binti yangu aliniletea upuuzi huo wa ku glow akaja na product sizikuzielewa nikampiga mkwala,, nikamwambia humu tunatumia clear essence tu.
akianza kujihudumia ndio ataingia huko
Mkuu nilikuwa nakufananisha na Id ya ledada,hapo kwenye kuwa na binti ndio umenishitua
 
Kuna watu wana glow ile ya natural bila cleanser wala sunscreen oyaah awe mweusi au mweupe wanang'aa na kuvutia kinoma
 
polite word gentle word for skin lightening/skin blich..with due respect kusema ANAJICHUBUA unasema ana GLOW.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…