Ngozi yenye hydration ya kutosha ndani ina glow kwa nje.
Hawa wa kujijaza wese ni special group.
wanaglow kweli wengine filterWese unalijazaje??? hivi wana glow au ni make up
Wana paka mafuta mengi, wanameremeta kama kitumbua wanadai wameglow.Wese unalijazaje??? hivi wana glow au ni make up
Hapa sasa wazee wa michubuko na kukoboa watatusaidia Ila kwa akili zangu ndefu nyembamba nahisi kuwa kuglow ni kuwakaNeno Glow limeahika kasi kwenye tasnia ya urembo, wauzaji wa vipodozi wanauza wakisema ukitumia utaglow, huku na watumiaji wakionesha ngozi zao kuwa zimeglow.
Cha ajabu wapo ambao wanashare video huku nyuso zikiwa zimenona futa kama wametoka kukaangwa au kulowekwa kwenye mafuta ya yile Mtume na nabii, huku wakijisifia kiwa tangu waanze kutumia kitu fulani wameglow au wamekiwa wekundu kwa kukoboa ngozi.
Najiuliza, kugolow ni uso kunona mafuta, au kukoboa ngozi au ni kuwaje? Naomba kufahamishwa maaana mpaka sasa nachanganyikiwa mwenzenu.
oooh!!!! nimeelewa.Wana paka mafuta mengi, wanameremeta kama kitumbua wanadai wameglow.
Na huku uswahilini kwetu wanajichubua wanasema wameglow kasheshe tu.
Ngozi ikiwa hydrated inakuwa radiant na plump ndio glow.
Wanadanganya binti zetu hawa basi tuwanaglow kweli wengine filter
Kuna binti nilimtongoza.wanaglow kweli wengine filter
Uso unawaka bila hata filterkuglow si ndo kuglow yaani kupendeza, ngozi kuwa na nuru, safi, mng'ao, mvuto n.k
weeee amna🤣🤣🤣ningekutumia ngozi yangu unambie nimeglow au sijaglowWanadanganya binti zetu hawa basi tu
sasa vibonge tumekukosea niniKuna binti nilimtongoza.
Nilimuona insta
Niliona Ngozi inawaka
Nikajua nimepata katoto ka afu 2
Niende nikakatafune
Kuja kuonana naye live mzuka wote uliisha.
Kwanza kafupi halafu kibonge
si ndio🤣🤣🤣🤣 kipako kikikubaliUso unawaka bila hata filter
Jinsia yangu inabadilika kulingana wakati niliopoJinsia yako tafadhali
Sipendelei kuwasiliana na watu nisowajua kupitia video call.sasa vibonge tumekukosea nini
inamaaana hamkuwahi kuongea hata videocall
Kama hiyo Ngozi Yako inavyowaka👌si ndio🤣🤣🤣🤣 kipako kikikubali
mtu akusifie umependeza kesho unaamka na chunusiKama hiyo Ngozi Yako inavyowaka👌