Nini maana ya neno 'Mkora'?

Koryo2

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2016
Posts
2,056
Reaction score
2,523
Naomba kuelemishwa kuwa mtu akikuita wewe ni MKORA ana maana gani dhidi yako?.
 
Naomba kuelemishwa kuwa mtu akikuita wewe ni MKORA ana maana gani dhidi yako?.
Wakenya wamelidadavua kutokana na neno la kiswahili "MKOROFI". Na wanalitumia general kwa watu/mtu asiyeeleweka vizuri, mtundu, muhuni na kadhalika.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…