nini maana ya MMU ki-jamii Forums

Kijana naona kwa leo imetosha mkimzidishia mtaamchanganya......
 
Kabla ya kuanza kuposti thread ulitakiwa kusoma kipengele cha how to use Jamii forums effectively, utayaona yote haya na namna ya kuyatumia. Maswali yako yote pia yatapata majibu ktk thread hiyo.
 
Wengine wanezuka na mmuu

Hii mmuu nimebakia kapa kabisaa sielewi wanamanisha nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…