Mikoani ni wapi?Ngoja nipande basi la "mikoani" nikaulize hilo.
Fuatilia hizo alama "..." hadi utafika "mikoani"!Halafu mimi sijaandika kwamba nipo "Daisiramu"!Mikoani ni wapi?
Dar sio mkoa?
Ndo uwezo wako wa kufikiri umeishia hapo?Dar ndio kila kitu vipimo vyote vinaanzia Dar na kuishia Dar
Kwa hiyo ukiondoa Dar mikoa iliyobakia mingine ipo kati na mingine ipo pembezoni
Lakimi pia hiyo mikoa ya pembezoni ni ile ambayo imepakana na nchi jirani
Wakazi wake hata Ummy Mwalimu akikutana nao huwa wanamchanganya yani hajui kama huyu ni Muha au Mburundi na kule Kagera anakua hajui kama huyu ni Muhaya au Muyuganda
Ndio maana akamua kuiita mikoa ya pembezoni
Umeelewa rafiki?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ana maanisha mikoa masikiniNimekuwa nikisikia mikoa ya pembezoni ila kwa uhakika huwa sijui wana manisha nini. Je ni mikoa yote inayopakana na nchi jirani zetu?
Je ni mikoa yote iliyo mbali na makao makuu ya nchi yetu kwa maana ya Dodoma?
Je ni mikoa yote iliyoko mbali na DSM?
Je na DSM nayo ni mikoa wa pembezoni?
Vipi kuhusu Arusha, Mbeya, Mwanza, Kilimanjaro nayo ni mikoa ya pembezoni?
Juzi nimemsikia Ummy Mwalimu akitolea mfano wa Kigoma, Kagera, Katavi na Rukwa kama miongoni mwa mikoa ya pembezoni ni kwanini hakusema Dar Na Tanga?
Bado nina ujinga kwenye hilo mwenye weledi jamani anipe elimu.
Kagera ni maskini?Ana maanisha mikoa masikini
Mbona Kilimanjaro, Arusha, na Mara haziitwi hivyo?Kagera ni maskini?
Mkoa unaozalisha karibia kahawa, ndizi na vanilla yote nchini ulinganishe na mikoa ya huko pwani wanapocheza vigodoro?View attachment 1850494View attachment 1850495

Anamaanisha hiyo mikoa inapakana na nchi nyingi.Mbona Kilimanjaro, Arusha, na Mara haziitwi hivyo?
Sawa mkuuAnamaanisha hiyo mikoa inapakana na nchi nyingi.
Mfano kagera ina muingiliano mkubwa wa watu na inapakana na nchi nne. Kenya ukivuka ziwa, Uganda kasikazini, Rwanda magharibi, na Burundi kusini magharibi.
Kigoma Inapakana na Burundi na Congo.
Katavi na rukwa kongo ,Burundi na Zambia
Duh abiria bukoba airport wanaingia mara 10 Kilimanjaro airportKagera ni maskini?
Mkoa unaozalisha karibia kahawa, ndizi na vanilla yote nchini ulinganishe na mikoa ya huko pwani wanapocheza vigodoro?View attachment 1850494View attachment 1850495
Mkuu,umewahi kupanga "Milembe hotels" siku za hivi karibuni?ππππDar ndio kila kitu vipimo vyote vinaanzia Dar na kuishia Dar