Sniper JF-Expert Member Joined Mar 8, 2008 Posts 2,008 Reaction score 950 Jul 6, 2011 #1 Wadau nini maana ya kuondoa shilingi kwenye bajeti? na je, mbunge akifanikiwa kuondoa hiyo shilingi ina kuwa ina affect vipi upitishaji mzima wa bajeti ya wizara husika?
Wadau nini maana ya kuondoa shilingi kwenye bajeti? na je, mbunge akifanikiwa kuondoa hiyo shilingi ina kuwa ina affect vipi upitishaji mzima wa bajeti ya wizara husika?