Bishazo_june
Member
- Jul 3, 2023
- 42
- 55
Ndo nini????[emoji848][emoji848][emoji848]Ita Siwa
Hili sio jibu simple coz tunaomba kujua maana hasa ya hiki kidude??? Kuwepo kwenye mabunge mengine sio issue...shida ni Kwamba kipo Kwa ajili ya kazi gani????The simplest answer is; ni utamaduni wa mabunge duniani hususan mabunge ya Commonwealth. Simple!
Si ndio maana kaliita jibu lake "simplest", yaani "shallow answer", kwa mtazamo wangu. Sasa ngojea wenye "serious answers" waje.Hili sio jibu simple coz tunaomba kujua maana hasa ya hiki kidude??? Kuwepo kwenye mabunge mengine sio issue...shida ni Kwamba kipo Kwa ajili ya kazi gani????
So kinaitwa Siwa????Dola ina mihimili mitatu: Serikali ikiwa na nembo ya bibi na Bwana. Mahakama na nembo ya mizani pamoja na Bunge ikiwa na Siwa. Hizi ni nembo tu kitofautisha mhimili mmoja na mwingine. Tungeweza kuweka hata jino la tembo. Mnaweka mlichonacho. Kumbuka pia ni dhahabu tupu. Kuna hoja Sasa ibadikishwe kuwa ya Tanzanite.
So hiyo Siwa inaelezea Nini???? Maana ya zile alama kwenye nembo ya taifa tunazijua ....maana ya mizani kwenye nembo ya mahakama ni haki???? Je hiyo Siwa inaashiria Nini???? Yani ni alama ya Nini kwenye taifa hili...ni kielelezo Cha kitu gani????Dola ina mihimili mitatu: Serikali ikiwa na nembo ya bibi na Bwana. Mahakama na nembo ya mizani pamoja na Bunge ikiwa na Siwa. Hizi ni nembo tu kitofautisha mhimili mmoja na mwingine. Tungeweza kuweka hata jino la tembo. Mnaweka mlichonacho. Kumbuka pia ni dhahabu tupu. Kuna hoja Sasa ibadikishwe kuwa ya Tanzanite.
Utwana,tutaendelea kuwa watwana mpaka umri kiyamautamaduni wa Kizungu huu. mambo haya tumeiga kwa wazungu. Sijui tija yake nn.
Mbona hakikuondoa akili za Adam sapi mkwawa, samwel sitta, pius msekwa na Anna makinda? Iweje kiondoe Kwa ****** na tulia?Hicho ndio ki uchawi cha Kuondoa akili za Spika wa bunge na wabunge wenzake