Nini maana ya binamu nyama ya hamu?

Nini maana ya binamu nyama ya hamu?

OME123

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2010
Posts
1,497
Reaction score
605
Usemi huwa nausikia tu,sijui unamaana gani wana Jamii forums. Ukiamua kuwa na mahusiano ya mapenzi na binamu yako ni dhambi.

Sababu kuna binamu yangu ametokea kunivutia kimapenzi.Je niwe nae au ni dhambi. Na hii ni kutokana na mila na desturi ya kiafrika.
 
Usemi huwa naisikia tu.sijui inamaana gani.wana jf eti ukimuomba binamu yako mchezo je ni dhambi.coz kuna binamu yangu ametokea kunivutia kimapenzi.je nimuombe au ni dhambi?? Niache hii ni kutokana na mila na desturi ya kiafrika

Kama mdomo mzito lazima utashindwa!!
 
Acha tabia yako mbaya utapoteza ukaribu na ndugu.
 
Usemi huwa naisikia tu.sijui inamaana gani.wana jf eti ukimuomba binamu yako mchezo je ni dhambi.coz kuna binamu yangu ametokea kunivutia kimapenzi.je nimuombe au ni dhambi?? Niache hii ni kutokana na mila na desturi ya kiafrika

Kimbia, ogopa, acha, kaa mbali kabsa izo ni dalili za laana kwenye familia ata kizazi chako kitaitafuna iyo dhambi itafika kipind watoto zako wa kuwazaa wew wataanza kufanya iyo michezo coz damu ya uchafu inatafuna kizaz chako
 
kama umeshndwa kujiuliza kabla yakutenda basi wewe ni reject
 
Kimbia, ogopa, acha, kaa mbali kabsa izo ni dalili za laana kwenye familia ata kizazi chako kitaitafuna iyo dhambi itafika kipind watoto zako wa kuwazaa wew wataanza kufanya iyo michezo coz damu ya uchafu inatafuna kizaz chako

Nimeacha kaka
 
Usemi huwa naisikia tu.sijui inamaana gani.wana jf eti ukimuomba binamu yako mchezo je ni dhambi.coz kuna binamu yangu ametokea kunivutia kimapenzi.je nimuombe au ni dhambi?? Niache hii ni kutokana na mila na desturi ya kiafrika

sio kwa bnamu yako tu. kuzini na mtu yeyote ni dhambi kubwa sana!!
 
Mwenyezi Mungu niepushie na hicho kitu kabisaaaa yani binamu????
 
Kama umeanza kutamani ndani! Angalia sana kambi huvamiwa na si kujivamia.
 
Umefanya vyema kuuliza kabla ya kutenda...maana kuna wengine wakishagegeda wanakimbilia huku kuomba ushauri.
 
Binamu ni dada yako, mtoto wa mjomba au shangazi!Imagine wanao watembee na watoto wa dada yako
 
Uhindini ruksa lakini maana wanalinda mali za familia, ndo maana mazezeta kibao
 
Back
Top Bottom