Majibu lazima yaje tu, tukianza kupigika ndio tutaanza kutafutana.Kiufupi mimi upande mmoja nimehuzunika ila upande wa pili nimefurahi. siku zote watanzania tulio wengi ni matomaso hatuamini mpaka tuone sasa umefika wakati wa kushuhudia ubaya wa hili jambo na si muda mrefu majibu tutayapata.
Nakazia, nipo hapa kushuhudia watu wakilimia meno.Kiufupi mimi upande mmoja nimehuzunika ila upande wa pili nimefurahi..siku zote watanzania tulio wengi ni matomaso hatuamini mpaka tuone sasa umefika wakati wa kushuhudia ubaya wa hili jambo na si muda mrefu majibu tutayapata.
Maisha yataendelea kama ilivyokuwa mwaka 2015,wala hakutakuwa na jipya.Yafuatayo yatafuata ndani ya miaka mitano ijayo 2020-2025.
1. Madeni yahusianayo na miradi mikubwa ya maendeleo kuwaelemea Watanzania. Miradi hiyo kukwama kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo Riba au kutokukopesheka...
Hata bila ya wahisani, uhasama wa ndani utazidi sana chini ya utawala wa ccm wa 100 per centMaisha lazima yaendelee, ingawa patatokea changamoto za wanaharakati, watu kunyamazishwa na mikwara ya hapa na pale kutoka kwa nchi wahisani.
Ndo nzuri mrNatabiri CCM mpya ndani ya CCM hii itaanzishwa na CCM wale wenye misimamo kunyamazishwa kwa kupotezwa au kuondelewa ndani ya chama.
I'm sure ccm itakuja kuoasuliwa na mpinzani atakaetokea ndani ya CCM. Na atakae idhoofusha na kuimaliza ccm hato kubali kuhama ndani ya CCM.Hata bila ya wahisani, uhasama wa ndani utazidi sana chini ya utawala wa ccm wa 100 per cent
Oya point mwisho 6 , we vipi jamaa wa history😂😂😂Yafuatayo yatafuata ndani ya miaka mitano ijayo 2020-2025.
1. Madeni yahusianayo na miradi mikubwa ya maendeleo kuwaelemea Watanzania. Miradi hiyo kukwama kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo Riba au kutokukopesheka.
1a. Kuwalalamikia wapinzani kama chanzo cha kukwama miradi hiyo ilihali kila kitu ni CCM.
1b. Kutokujua ni nani haswa ni mchawi wa matatizo yetu kama taifa.
2. Watu kutokuwa na furaha kila pembe ya nchi na akili kuwarudia na kujua ni haswa chanzo cha kutokuwa na furaha.
3. Vitendo vya kiuhalifu kuongezeka kila sehemu ya Tanzania mara 1 zaidi ya sasa.
4. Jumuia ya kimataifa either kutuacha tupambane na hali zetu hadi akili zituingie au kuja kuokoa jahazi kwa masharti maalum.
4a. Mabeberu kukubalika rasmi bila mkwaruzo kama nguchiro na kichuguu kuishi nyumba moja.
5. CCM kukubali kiaina makosa ya wizi wa kura na kunyoosha mikono mambo yakiwa si mambo.
6. Revolution ya wananchi bila kupitia njia za vyama vya siasa au utaratibu mwingine uliowekwa kisheria. Njia zozote zile zitakuwa ni hiari ya mhusika anayezitaka kwa mfano wa Tunisia.
7. Mauaji na kutekwa kuwa kitu cha kawaida kwa wapinga CCM na vibaraka wake
8. Kutafutwa (kwa udi na uvumba) wa national unity bila mafanikio kwa style ya Libya au Kenya.
9. Maisha mfamo wa Zimbabwe kuja Tanzania kwa sababu mbalimbali ikiwemo vikwazo na kutengwa kwa serikali itayoundwa
10. Supportes wa CCM (polisi, JW, na wengineo ) kulianzisha mara maji yakiwafika shingoni.
11. Ongezea mengineyo
12. Povu ruksa bila ushabiki