Nini kinatokea 'ukimpotezea' mwanamke?

Kwanini umwambie unampenda halafu umpotezee? Unadhani hakuna wanaume/wanawake wengine ambao wanammezea mate na kutaka kuwa naye kama mpenzi? Utakuta vumbi tu kisha ubaki kujilaumu.


 
Sasa kuambiwa unapendwa sio ajabu as unaambiwa sana tu, so mtu akiniambia ananipenda then akanipotezea yaani hataaa simtilii maanani, maybe km nilikuwa nina interest nae basi kidogo nitawaza whats wrong!!
 
Wewe ni umebobea
 

Ndio maana nikasema kumpotezea mtu ambae hana interest na wewe unakuwa umemsaidia yule unayempotezea, hii ijaribu kwa alie na interest nawe, ila nayo yaweza kukucost, kuna watu hawawezi kuhandle kupotezewa, so ukimpotezra nae anakupotezea.

Kuna jamaa walijazana ujinga bar na wenzie nae akaamua kumpotezea kiaina binti ili kuvuta atention yake, kilichomkuta anasimulia hadi kesho, aliishia kulia yeye.
 

Basi huyo binti hakuvutiwa na jamaa kihiiiivyo atoto
 
Basi huyo binti hakuvutiwa na jamaa kihiiiivyo atoto
Nop, walikuwa wanapendana vizuri tu, na hakukuwa na tatizo, ila ni uboya wa mwanaume kuleta utoto usomaana, bibie akaona hapa hamna mwanaume, nae akapotezea alafu sasa yeye alipotezea for good.
 
Kumpotezea?????

Huo UJINGA SINA KUBABAKE.....
Nikisha mwambia "I love you" akiingia mkenge tuu, sikawizi namgonga nambanjua then namtema nasepa mbele.....
Wanawake ni wa kugongwa tuu... Tunawagonga tuu..

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
Sijapenda kauli yako eti wanawake ni wa kugongwa tuu....
Not fear kabisa rekebisha kauli yako.

[emoji35] [emoji95] [emoji379]
[emoji16] [emoji16] [emoji83] [emoji83]
 
Nahisi B imeshawahi kunitokea
 
Mi nimewahi kuifanya hiyo ishu, nilimtokea dem mmoja hivi sikuwahi kumtongoza. Basi tukawa marafiki kama wiki 2 hivi halafu nikaanza kumpotezea.
Akipiga simu sometymz sipokei akituma text namjibu short. Na sababu ni kwamba sikuwahi kumpenda ila washkaji zangu wawili walivutiwa nae sasa wakawa wanaogopa kumfuata nikawaambia nitawachukulia wakabisha so nilimfuata yule dem kuprove umwamba wangu tu.
Basi bwana yule dem alinipa shida na vitisho juu kwamba inakuaje nimejenga urafiki halafu nimempotezea, maswali kibao una nia gani na mimi mara umetumwa dah. Lakini siku ya mwisho ikabidi niwe nae sababu niliona nimeyataka mwenyewe sababu alikua analia na kulia kumbe kanipenda vibaya mno. Nakumbuka tulidumu miaka miwili tukaachana lakini ndo alikua the best girl i ever had mpaka leo hii, coz nilijifunza kumpenda nikampenda basi ikawa mororo.
 
Psychological torture hio mkuu don't try... utaharibu ndoa za watu...

I tried before... it's dangerous.
 
Sahivi na sisi tunapenda eat and run hivyo muangalie style mpya yakutukomoa hii sio tena.


Hamna kitu hicho wewe....
Mwanamke ukishamgonga anakua kama punguani kabisa.... Hawezi ku run tena, labda kama humsugui barabara....
Nasema haya sababu wanawake nimeishi nao, nimewagonga sanaa, na kuwatema sanaa...

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG]
 
Ni sawa na kumpiga teke chura hili kumuongezea mwendo.
 
This boy lazima kuna kitu, ana hasira sana na wanawake! Akidhani anawakomoa kumbe anajiumiza tu ndio maana pamoja na kubragg hivyo kila siku still hajapata releaf.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…