Nini kinasababisha hedhi kutoka kidogo Sana?

princess ariana

JF-Expert Member
Aug 19, 2016
8,696
17,304
Habari zenu.
nauliza; hivi nini kinasababisha hedhi kutoka kidogo sana.?
Tiba take nini?
madhara yake ni nini?
 
Fafanua vizuri tukusaidie kutoka kidogo kivip?
inatoka kwa kiasi kidogo, mfano; Kama nitakaa na pedi kutwa nzima ya masaa12 haijai.
inatoka kidogo kidogo Sana
halafu tumbo linauma Sana pia.
na linaweza anza kuuma hats siku10 kabla ya period
in zinakujaga wakati mwingine baada ya siku40-50
 
du.....!....pole swahiba.....
 
Hormonal imbalance ndio chanzo cha Damu ya Hedhi kutoka nyingi au kidogo ,ili Mwanamke apate Regular na Normal Menstrual cycle and Flow lzm Hormone zake za kike zi balance lkn pia km zinatoka kiduchu au spotting inawezekana anatumia Family planning hormonal methods au ana kiasi kikubwa Hormone za kiume ,au sometimes kwenye early Pregnancy huwa kuna uwezekano wa kuona Damu kidogo na kwa siku chache kwa siku zile alizopaswa Ku bleed!
 
matibabu ni nini sasa?
 
Back
Top Bottom