G gadi alex Member Joined Sep 29, 2016 Posts 74 Reaction score 27 Nov 11, 2016 #1 Kwanza nawasalim! Mm mwenzenu napenda kuulizia taratibu za kuhama chuo na documents zinazotakiwa msaada tafadhali
Kwanza nawasalim! Mm mwenzenu napenda kuulizia taratibu za kuhama chuo na documents zinazotakiwa msaada tafadhali
club6 Senior Member Joined Apr 11, 2014 Posts 157 Reaction score 61 Nov 11, 2016 #2 Kila chuo kina taratibu zake, taja chuo unachotaka kuhamia nikupe taratibu
G gadi alex Member Joined Sep 29, 2016 Posts 74 Reaction score 27 Nov 11, 2016 Thread starter #3 Udom mkubwa
Msukuma wa dar JF-Expert Member Joined Jul 14, 2016 Posts 1,160 Reaction score 1,201 Nov 12, 2016 #4 gadi alex said: Udom mkubwa Click to expand... Nenda na barua ya kuomba kuamia,watakujb km Kuna nafas bado.Hakikisha unadoc zko zote,usiache Ata kimoja,vitakusaidia kwny usajili
gadi alex said: Udom mkubwa Click to expand... Nenda na barua ya kuomba kuamia,watakujb km Kuna nafas bado.Hakikisha unadoc zko zote,usiache Ata kimoja,vitakusaidia kwny usajili
R100 JF-Expert Member Joined Sep 11, 2014 Posts 337 Reaction score 81 Nov 12, 2016 #5 Msukuma wa dar said: Nenda na barua ya kuomba kuamia,watakujb km Kuna nafas bado.Hakikisha unadoc zko zote,usiache Ata kimoja,vitakusaidia kwny usajili Click to expand... Je na kwenye loan itakuwaje?
Msukuma wa dar said: Nenda na barua ya kuomba kuamia,watakujb km Kuna nafas bado.Hakikisha unadoc zko zote,usiache Ata kimoja,vitakusaidia kwny usajili Click to expand... Je na kwenye loan itakuwaje?