Ndengaso JF-Expert Member Joined Jul 18, 2014 Posts 8,694 Reaction score 16,322 Oct 20, 2025 #1 Happening right now. Ni Fataki au milio ya nini ? Nawasilisha. Updates : Ni Sikukuu ya Diwali na wahusika wanasherekea kwa fataki. π
Happening right now. Ni Fataki au milio ya nini ? Nawasilisha. Updates : Ni Sikukuu ya Diwali na wahusika wanasherekea kwa fataki. π
sergio 5 JF-Expert Member Joined May 22, 2017 Posts 9,743 Reaction score 11,150 Oct 20, 2025 #2 Mizinga
Ndengaso JF-Expert Member Joined Jul 18, 2014 Posts 8,694 Reaction score 16,322 Oct 20, 2025 Thread starter #3 sergio 5 said: Mizinga Click to expand... Wapi exactly inspigwa na ni kwanini muda huu mkuu ?
Le Padrino JF-Expert Member Joined Nov 13, 2016 Posts 556 Reaction score 1,297 Oct 20, 2025 #4 Diwali celebrations
MWANDENDEULE JF-Expert Member Joined May 24, 2015 Posts 4,764 Reaction score 9,236 Oct 20, 2025 #5 Semeni isijekuwa Hamza kafufuka huko Daslamu
heartbeats JF-Expert Member Joined Feb 10, 2014 Posts 8,019 Reaction score 13,271 Oct 20, 2025 #6 Sikukuu ya magambachori leo so be calm
Mbaga Jr JF-Expert Member Joined May 28, 2018 Posts 44,177 Reaction score 104,785 Oct 20, 2025 #7 Ndengaso said: Wapi exactly inspigwa na ni kwanini muda huu mkuu ? Click to expand... Ulitaka iwe saa ngapi
Ndengaso said: Wapi exactly inspigwa na ni kwanini muda huu mkuu ? Click to expand... Ulitaka iwe saa ngapi
Ndengaso JF-Expert Member Joined Jul 18, 2014 Posts 8,694 Reaction score 16,322 Oct 20, 2025 Thread starter #8 Ndengaso said: Happening right now. Ni Fataki au milio ya nini ? Nawasilisha. Click to expand... Updates : Ni Sikukuu ya Diwali na wahusika wanasherekea kwa fataki. π
Ndengaso said: Happening right now. Ni Fataki au milio ya nini ? Nawasilisha. Click to expand... Updates : Ni Sikukuu ya Diwali na wahusika wanasherekea kwa fataki. π
J Jokeri112 JF-Expert Member Joined Apr 14, 2025 Posts 308 Reaction score 576 Oct 20, 2025 #9 Ndengaso said: Updates : Ni Sikukuu ya Diwali na wahusika wanasherekea kwa fataki. π Click to expand... Diwali ni Nini mkuu?
Ndengaso said: Updates : Ni Sikukuu ya Diwali na wahusika wanasherekea kwa fataki. π Click to expand... Diwali ni Nini mkuu?
Ndengaso JF-Expert Member Joined Jul 18, 2014 Posts 8,694 Reaction score 16,322 Oct 20, 2025 Thread starter #10 Jokeri112 said: Diwali ni Nini mkuu? Click to expand... Naambiwa Diwali ni sikukuu ya Kihindi inayoadhimisha ushindi wa mwanga dhidi ya giza, mema dhidi ya mabaya. Watu huwashwa taa, kufurahia chakula, zawadi na fataki.
Jokeri112 said: Diwali ni Nini mkuu? Click to expand... Naambiwa Diwali ni sikukuu ya Kihindi inayoadhimisha ushindi wa mwanga dhidi ya giza, mema dhidi ya mabaya. Watu huwashwa taa, kufurahia chakula, zawadi na fataki.
T Teknocrat JF-Expert Member Joined Oct 20, 2018 Posts 7,968 Reaction score 15,788 Oct 20, 2025 #12 Inanikumbusha Upanga miaka ya 80-90 Kipindi hiki, tulikuwa tunazurura kuwapora watoto wa kihindi fataki
Inanikumbusha Upanga miaka ya 80-90 Kipindi hiki, tulikuwa tunazurura kuwapora watoto wa kihindi fataki
The Father of All JF-Expert Member Joined Feb 26, 2012 Posts 10,995 Reaction score 13,525 Oct 20, 2025 #13 Ndengaso said: Happening right now. Ni Fataki au milio ya nini ? Nawasilisha. Updates : Ni Sikukuu ya Diwali na wahusika wanasherekea kwa fataki. π Click to expand... Hawa magabacholi wakafanyie upuuzi wao kwao India siyo Bongo. Ingekuwa dini ya Kiswahili huko ugabacholini wala wasingeruhusu ujinga huu.
Ndengaso said: Happening right now. Ni Fataki au milio ya nini ? Nawasilisha. Updates : Ni Sikukuu ya Diwali na wahusika wanasherekea kwa fataki. π Click to expand... Hawa magabacholi wakafanyie upuuzi wao kwao India siyo Bongo. Ingekuwa dini ya Kiswahili huko ugabacholini wala wasingeruhusu ujinga huu.
Munch wa Annabelle JF-Expert Member Joined Aug 13, 2019 Posts 6,356 Reaction score 11,069 Oct 20, 2025 #14 Kama fatak za magabachor mnaanzishia Uzi wa taharuk halaf mnadanganyana kuandamana Token tuwavunje nyonga
Kama fatak za magabachor mnaanzishia Uzi wa taharuk halaf mnadanganyana kuandamana Token tuwavunje nyonga