Oscar Lyrics
JF-Expert Member
- Oct 8, 2022
- 2,732
- 4,651
Huu ni ubatizo au tambiko?
Huu ni ukatili mbaya sana kwa watoto. Hawa wapumbavu ni wa wapi wakamatwe? Ni Tanzania?
kwan kuna waafrika weupe😂😆Wafrika hasahasa weusi bado hawajawa binadamu kamili bado wako kwenye evolution.
sio weupe wazungukwan kuna waafrika weupe😂😆
Kweli kabisa sijui, nani alituliga mkuuAfrica ni kizazi cha laana. Haiwezekani mtu akashindwa kutambua zuri na baya
Acrually mi sielewagi mzazi unawezaje kukaa tu pembeni huku mtoto anafanyiwa unyama kama huo.., mi naweza kupata kesi isiyo na dhamana hapo..
Ni sawa, lakini kuna vitu ni ushenzi kweli, mfano hicho kwenye clip, ni ushenzi!Baada ya kuambiwa Mila zetu ni za kishenzi nasi tukakubali kuziacha hapo ndipo ambapo tulianza kuwa washenzi wa kuruka mambo yasiyo yetu na kuyachukulia kwa uzito mkubwa sana