Kama kweli wewe ni mtiifu wa chama kama nilvo mimi jifunze kuwa na siri, sio kila jambo ni vema kuja kuliweka hadharani, tafuta namba ya Marando au kamanda yeyote mwambie na sio kuja kuleta hapa hadharani sawa?
Wanachama wa kawaida tusaidie kutatua matatzo tusiyachochee, nikutakie kila la heri kusaidia chama uchaguzi ujayo.