Mafanikio ni kuwa na taaluma/kipaji, Afya njema,fedha au kipato cha uhakika na Familia bora kama huna baadhi au vyote kati ya hivyo hapo juu haujafanikiwa.Kwa hiyo endelea kuvisaka.
Hiyo ni relative terminology!
binafsi nikipata wake wanne ni mafanikio makubwa kweli kweli......
mwingine akipata baiskeli mbili ni mafanikio ya ajabu kweli kweli!
Asante kwa maelezo. Ila hivyo vitu unavyotamani kuvifanya au kuvifikia ni vipi? Swali lako la mwisho, limebeba ujumbe mzito na wa maana sana. Kwa hiyo ukishafahamu wewe umeletwa duniani kucheza role gani (kusudio fulani), hiyo ndiyo inakuwa njia na mwanga katika kupata mafanikio? Hivyo unataka kusema ili kuweza kufanikiwa katika maisha, binadamu anapaswa ajitambue kwanza?Mafaniko kwangu ni kuweza kutimiza njozi nilizonazo. Kuna vitu fulani natamani kuvifanya au kuvifikia, nitajiona nimefanikiwa siku nikivimaliza. Mtizamo wangu wa maisha ni kama movie, unaletwa duniani kucheza part fulani, ukiimaliza lazima uondoke. Cha kujiuliza, ulikuja hapa duniani ili ukamilishe nini? Ukishajua umekuja ili ufanye nini, basi kamilisha kusudio hilo.
Salaam wana JF!
Kama wasafiri hapa duniani, binadamu tumekuwa tukipigana na kujitahidi kwamba tunapata mafanikio ili siku pale parapanda litakapolia, basi mtu aweze kuondoka na kuacha alama, kwamba jamaa alikuwa amefanikiwa au hajafanikiwa kimaisha n.k.
Je, mafanikio katika maisha ya binadamu ni nini?
Yanakuwa defined vipi?
Ni yapi yanayotufanye tuseme fulani kafanikiwa kimaisha?
Je, kuwa na mali nyingi - magari, nyumba, pesa n.k. ni mafanikio katika maisha?
Je, kusafiri na kutembelea nchi na sehemu mbalimbali duniani (hata nje ya dunia, mwezini, angani n.k.), ni mafanikio katika maisha?
Je, kuwa na kazi nzuri (yenye mshahara mnono au kazi unayoipenda), ni mafanikio katika maisha?
Je, kuwa na watoto wengi, ni mafanikio katika maisha?
Je, kuwa na marafiki wengi (kuishi vizuri na binadamu wenzako), ni mafanikio katika maisha?
Je, kuwa na machapisho mengi (vitabu, articles n.k.), ni mafanikio katika maisha?
Je, kuwa na wake/waume au wapenzi wengi ni mafanikio katika maisha?
Je, kuwa na mume au mke, ni mafanikio katika maisha?
Je, kushika neno la Mungu na kumwamini Yeye, ni mafanikio katika maisha?
Je, kuna universal meaning ya mafanikio ya maisha?
Hakika ninapata ugumu katika kudefine mafanikio katika maisha!
NB: Mtanisamehe sana kama mada kama hii imeshawahi kujadiliwa; kama ndiyo, basi ifutwe.
Asante kwa maelezo. Ila hivyo vitu unavyotamani kuvifanya au kuvifikia ni vipi? Swali lako la mwisho, limebeba ujumbe mzito na wa maana sana. Kwa hiyo ukishafahamu wewe umeletwa duniani kucheza role gani (kusudio fulani), hiyo ndiyo inakuwa njia na mwanga katika kupata mafanikio? Hivyo unataka kusema ili kuweza kufanikiwa katika maisha, binadamu anapaswa ajitambue kwanza?[/QUOTE]
Kwa mtazamo wangu hiii ni MUHIMU KULIKO VITU VYOTE KATIKA KUSAKA MAFANIKIO; usipojua UNACHOTAKA kufanya katika maisha yako si utajikuta unaishi kama testa ya umeme?? Unaingia katika kila soketi-yote wayajaribu wakati hakuna hata moja ulipalo uzito wa ktoka moyoni mwako

nimepapenda hapa!
Salaam wana JF!
Kama wasafiri hapa duniani, binadamu tumekuwa tukipigana na kujitahidi kwamba tunapata mafanikio ili siku pale parapanda litakapolia, basi mtu aweze kuondoka na kuacha alama, kwamba jamaa alikuwa amefanikiwa au hajafanikiwa kimaisha n.k.
Je, mafanikio katika maisha ya binadamu ni nini?
Yanakuwa defined vipi?
Ni yapi yanayotufanye tuseme fulani kafanikiwa kimaisha?
Je, kuwa na mali nyingi - magari, nyumba, pesa n.k. ni mafanikio katika maisha?
Je, kusafiri na kutembelea nchi na sehemu mbalimbali duniani (hata nje ya dunia, mwezini, angani n.k.), ni mafanikio katika maisha?
Je, kuwa na kazi nzuri (yenye mshahara mnono au kazi unayoipenda), ni mafanikio katika maisha?
Je, kuwa na watoto wengi, ni mafanikio katika maisha?
Je, kuwa na marafiki wengi (kuishi vizuri na binadamu wenzako), ni mafanikio katika maisha?
Je, kuwa na machapisho mengi (vitabu, articles n.k.), ni mafanikio katika maisha?
Je, kuwa na wake/waume au wapenzi wengi ni mafanikio katika maisha?
Je, kuwa na mume au mke, ni mafanikio katika maisha?
Je, kushika neno la Mungu na kumwamini Yeye, ni mafanikio katika maisha?
Je, kuna universal meaning ya mafanikio ya maisha?
Hakika ninapata ugumu katika kudefine mafanikio katika maisha!
NB: Mtanisamehe sana kama mada kama hii imeshawahi kujadiliwa; kama ndiyo, basi ifutwe.
Mafanikio ni kuwa na taaluma/kipaji, Afya njema,fedha au kipato cha uhakika na Familia bora kama huna baadhi au vyote kati ya hivyo hapo juu haujafanikiwa.Kwa hiyo endelea kuvisaka.
hili swali halina jibu kamili. its is relative to what you are refering to. muda mwingine mtu huwa anasema amefanikiwa pale anapotaka jambo fulani na akalipata. kwahiyo unapopata unachokitaka kwa wakati huo basi hayo ni mafanikio.
Angalau umenipa mwanga kidogo. Lakini:
Kwa hiyo hakuna universal meaning?
Kwa hiyo unataka kumainisha hakuna binadamu aliye na mafanikio katika maisha kwa sababu maana ya mafanikio inatofautiana baina ya wanadamu au?