Nini kimetokea tamthilia ya Pete Africa Magic?

Nini kimetokea tamthilia ya Pete Africa Magic?

ARCHBISHOP

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2012
Posts
271
Reaction score
488
Wakati kila mtu akianza kuipenda na kuielewa tamthilia hii pendwa, ghafla tarehe 02/04/2019 ilihamishwa kutokea kuonyeshwa saa 21:30pm kwenda 00:30am.

Leo tarehe 03/04/2019 inaonekana imeondolewa kabisa kwenye vipindi. Hii yote imefanyika bila taharifa wala kuombwa msamaha watazamaji. Kwakweli tumekosewa na Multchoice. Au kama kuna jambo watufahamishe wapenzi.
Screenshot_20190402-213457_Photos.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona nilisikia season 1 ndio imeisha au
 
Back
Top Bottom