Nini kimetokea katika ulimwengu wa sasa mapenzi ?

Mkuu Mademu wengi hawana akili timamu,wanawake wenye akili timamu waliishia kizazi cha Mwaka 1979,kama Una ndugu wa Kike aliyezaliwa juu ya hapo nakuhurumia
 
Changamoto za watanzania ni
Nyege
Njaa
Umaskini
Haya watu wakitatua changamoto zao shida nn
 
Sahz mtu anaolewa kufata mali s upendo asa unazan nn mzee !? Ukfata mali anaekuoa anakua na maamuz juu ako atatimiza furaha yake na sio yako"BORA KULALA CHINI NA SIO KULALIA KITANDA CHENYE KUNGUNI"szungumzii kitanda wala kungun hapo
 
Wa zamani siyo wa sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…