Nini kimemsibu "Dai"; Tufuatilie kwa makini.....

2kimo

JF-Expert Member
Jan 23, 2014
2,029
2,071
Watanzania wamekuwa mbogo na wameanza kumtemea cheche mwanamuziki nguli nchini....Simber!
Si kitu chepesi msanii kukubali kuweka rehani kazi yake, tena inayomlipa sana just kwa kutaka kuendekeza urafiki!
...Mimi akili yangu inakataa kuwa jamaa ameridhia kuinunua vita ya wenziwe, kuna jambo tu nyuma ya pazia....!
Inawezekana na yeye naye wame-"mroma"
, ingawa tunamuona uraiani lakini huwezi jua saa nyingine amepewa condition kumtumikia Bashite au kupotezwa kwenye ramani kama yule wa Yanga!

Hebu tumpe muda huyu simber labda naye siku moja atakuja kutuambia yake ya moyoni na tutamuhurumia!
 
huyu dogo ni mjinga tu
 
huyu dogo ni mjinga tu
Angalieni kwa makini trend ilivyo!
Hebu piga picha ya Tid ilikuwaje?
Kuna kitu tu nyuma ya pazia!
labda hakuwekwa kwenye yale malist au ameitwa na jina kuondolewa halafu anapewa conditions!
Hawa kina Bashiti wanaweza kufanya chochote!
muda utasema na tuendelee kungoja!
 
Kwaiyo naseeb abdul atakiwi kuwa na mapenzi kwa kitu anachoamini? Na niulize mwisho mnataka naseeb abdul ashabikie chama gani?
 
Wasiojitambua ndiyo wanafuatilia hawa wasanii wa fleva wanafanya nini.....wenzenu wanatafuta kickii kupitia kwenu na nyie bila kujitambua mnaacha kufanya yenu ya maana mnawafuatilia. Acheni kuwafuatilia muone kama wataendelea kufanya huu ujinga wafanyao hivi sasa. Mnachezewa tu akili bila kujijuwa.
 
dogo kaingizwa mkenge na wakina bashite na siku atakapokataa atapotezwaje kama anajua asiweke mayai yote kwenye kapu ajue watamgeuka na watafreeze Mali zake zote awa ni watu wa visasi otherwise ajilipue awe amfia chama kama bongo movie
 
Leo hata mimi nimemshusha thamani sana tofauti na ninavyozifuatiliaga nyimbo zake!
yaani alivyo na jina kubwa eti anaanza kujibizana na mwanamke( mange)
 
Back
Top Bottom