Nini kimempata huyu jamaa?

Huyu itakuwa ni haka kabaridi ka asbuhi,, ndo kamempandishia ma ny**e**g
 
una namba zake za simu tukampigia na kumuuliza

Tanzani itachukua miaka mingi sana kuendelea...watu wake vichwa vyao!!
Ningekuwa nayo ningeuliza??? unakuwa kama Mwigulu Nchemba bwana! acha hizo!
 
Mkuu, hizo ndio Salam za asubuhi ukitoka kuamka!....sasa huyu inaonekana hakufanya wakati anamka. Kwahivo ndio anamalizia lile zoezi la asubuhi asubuhi!
 
Libamia linatafuta network! aende rest room kwanza!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…