Not the first time, nor will this be the last time that incumbent ccm candidate Magufuli in Tanzania clearly states that he will not allow development funds to be provided to constituencies where they elect opposition members of Parliament.Mwenyekiti wa CHADEMA na mgombea wa ubunge jimbo la Hai mhe. Freeman Aikaeli Mbowe ameonekana mara chache sana kwenye jukwaa la siasa kumnadi mgombea wa urais kupitia tiketi ya chama hiko...
Mnyika naye hujamuona jukwaani , naye anataka uenyekiti ?Kuna msuguano mkubwa sana ndani ya chadema, inasemekana nia yake sio urais ni uenyekiti na Mbowe naye hataki kabsa kuachia kijiti
Mwenyekiti wa CHADEMA na mgombea wa ubunge jimbo la Hai mhe. Freeman Aikaeli Mbowe ameonekana mara chache sana kwenye jukwaa la siasa kumnadi mgombea wa urais kupitia tiketi ya chama hiko...
Usimchague, hatakosa kura yako. Anazo za kutosha.Amirijeshi Magufuli nitamchagua endapo atawaonesha Azory gwanda, Ben Saanane na akitueleza japo kwa kifupi raia wake waliokua wanaelea kwenye viroba Cocobeach waliuliwa na nani.
Kwa hiyo Mbowe kagomeà kampeni hadi Azzory apatikanike?Amirijeshi Magufuli nitamchagua endapo atawaonesha Azory gwanda, Ben Saanane na akitueleza japo kwa kifupi raia wake waliokua wanaelea kwenye viroba Cocobeach waliuliwa na nani.
Mshaona dalili za kuangukia pua. Sasa mnasaka sababuNot the first time, nor will this be the last time that incumbent ccm candidate Magufuli in Tanzania clearly states that he will not allow development funds to be provided to constituencies where they elect opposition members of Parliament.
#ChangeTanzania
Simu zinamiminika kutoka Hai wakiamini yupo jijini.Kwani hukusoma uzi wa Olesabaya kuwatuma wanafunzi wa Hai Day kumshambulia Mbowe juzi akiwa kwenye jimbo lake, unadhani yupo kimya unataka umuone wapi, yupo jimboni kwake kimya kimya akifanya kampeni.
unapigiwa wewe hizo simu wakimuulizia mbowe kwakoSimu zinamiminika kutoka Hai wakiamini yupo jijini.
Lisu anakiua chama chake kwenye hizi kampeniUwezo wa Lissu jukwaani nimkubwa sana Lissu anauwezo Mkubwa wa Kujieleza,Kuuza sela,kujiuza na kuliteka jukwaa.Hana haja msaidizi wala nini.
Lissu ni Tofauti na Mzee Lowassa ambaye hakuwa na uwezo wowote jukwaani.
Mbowe yupo buzyna shughuli za kichama underground Movement.
NI YEYE.
Yeye ni mmiliki wa hiko chama.
Sememi mmemficha pori gani?
Hamna mana nyie