👿👿Ni pendekezo la kocha mchezaji kucheza na yanga kocha haiingiliwi maana kwanza wachezaji kawakuta hakupoint yeye mwenyewe!, so atachagua wanaomfaa vyema
sawa na staki sichethi na weweHATUCHEZI
Pale Yanga ushindani ni mkubwa ila arudi Simba bado kuna pengo lake ila ajue anakwenda kujitwisha gunia la Misumari kwakua kila mechi ata tumika kwakukosa msaidizi.
Pale Yanga ushindani ni mkubwa ila arudi Simba bado kuna pengo lake.
Ni kama tu Torres alivyoenda Chelsea kwa mbwembweHuyu Mwamba kulikoni mechi nyingi hachezi na hata hizo anazocheza ni kwa muda mfupi sana? Hana Taarifa za ugonjwa Wala majeruhi kulikoni?
Hii sio hasara kwa klabu, kwa kulipa mamilioni mengi kumnunua mchezaji ambaye hataitumikia?
Hii sio madhara pia kwa kiwango Cha mchezaji husika?
Safari ya simba caf cc ndiyo mwisho wake leo.Ni matumizi tu ya Nani acheze nani asicheze.
Walijua Simba anaingia sana Robo sababu ya Chama sasa kimewalamba.
Ndugu wewe acha kamdomo