Greatest Of All Time
Platinum Member
- Jan 1, 2017
- 26,550
- 62,022
Mimi naweza kusema nothing lasts foreverVictor Mugabi Wanyama, ni jina kubwa sana kwa ukanda huu wa Afrika ya Mashariki katika michezo.
Amejizolea umaarufu kama mmoja kati ya viungo bora wakabaji katika EPL kwa misimu kadhaa akiwa na Southampton kisha Spurs. Kila mmoja anajua uwezo mkubwa alionao kiungo huyu kutoka Kenya.
Kwa misimu miwili ya hivi karibuni amekuwa mchezaji wa kuwekwa benchi na kuingia dakika 10 za mwisho za.mchezo. Amekuwa akiwekwa benchi na wachezaji kama Moussa Sissoko, Eric Dier na hata wakati mwingine bwana mdogo kutoka akademi ya Spurs, Harry Winks.
Je, majeraha aliyopata kipindi cha nyuma yamegharimu nafasi yake kikosini? Je hafiti katika mfumo wa kocha Pochetinno? Au ndio uzee ushamkuta? Hivyo anashindwa kuendana na kasi ya ligi?
Karibuni kwa mjadala!
ha ha ha hyo meseji ya dont follo follo me imenikumbusha mbaliMimi naweza kusema nothing lasts forever
😀ont folo folo me wizout ene bikoz:
Stupid fishWanyama alienda ulaya kwa kudanganya umri, kinachomtokea pale Totenham ,kila akitibiwa anacheza kidogo tena chin ya kiwango, anarud kwenye majeruhi
Wanyama anamika zaid ya 30 lakin passport yake inaonesha yupo kwenye 25-27
'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
KivipStupid fish
Yale yale ya EssienWanyama alienda ulaya kwa kudanganya umri, kinachomtokea pale Totenham ,kila akitibiwa anacheza kidogo tena chin ya kiwango, anarud kwenye majeruhi
Wanyama anamika zaid ya 30 lakin passport yake inaonesha yupo kwenye 25-27
'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
ana shauku ya kumuona Pierre liquid...kuliko kucheza soka lakeVictor Mugabi Wanyama, ni jina kubwa sana kwa ukanda huu wa Afrika ya Mashariki katika michezo.
Amejizolea umaarufu kama mmoja kati ya viungo bora wakabaji katika EPL kwa misimu kadhaa akiwa na Southampton kisha Spurs. Kila mmoja anajua uwezo mkubwa alionao kiungo huyu kutoka Kenya.
Kwa misimu miwili ya hivi karibuni amekuwa mchezaji wa kuwekwa benchi na kuingia dakika 10 za mwisho za.mchezo. Amekuwa akiwekwa benchi na wachezaji kama Moussa Sissoko, Eric Dier na hata wakati mwingine bwana mdogo kutoka akademi ya Spurs, Harry Winks.
Je, majeraha aliyopata kipindi cha nyuma yamegharimu nafasi yake kikosini? Je hafiti katika mfumo wa kocha Pochetinno? Au ndio uzee ushamkuta? Hivyo anashindwa kuendana na kasi ya ligi?
Karibuni kwa mjadala!
tehtehtehte.....alijiingiza mambo ya siasa Tanzania...alipewa mtaa/barabara sijui ni ubungo au wapi???!!! (a joke please)Victor Mugabi Wanyama, ni jina kubwa sana kwa ukanda huu wa Afrika ya Mashariki katika michezo.
Amejizolea umaarufu kama mmoja kati ya viungo bora wakabaji katika EPL kwa misimu kadhaa akiwa na Southampton kisha Spurs. Kila mmoja anajua uwezo mkubwa alionao kiungo huyu kutoka Kenya.
Kwa misimu miwili ya hivi karibuni amekuwa mchezaji wa kuwekwa benchi na kuingia dakika 10 za mwisho za.mchezo. Amekuwa akiwekwa benchi na wachezaji kama Moussa Sissoko, Eric Dier na hata wakati mwingine bwana mdogo kutoka akademi ya Spurs, Harry Winks.
Je, majeraha aliyopata kipindi cha nyuma yamegharimu nafasi yake kikosini? Je hafiti katika mfumo wa kocha Pochetinno? Au ndio uzee ushamkuta? Hivyo anashindwa kuendana na kasi ya ligi?
Karibuni kwa mjadala!
Mkuu nakumbuka kuna kipindi wenger alimlilia sanaa sijui iliishia wapWanyama alienda ulaya kwa kudanganya umri, kinachomtokea pale Totenham ,kila akitibiwa anacheza kidogo tena chin ya kiwango, anarud kwenye majeruhi
Wanyama anamika zaid ya 30 lakin passport yake inaonesha yupo kwenye 25-27
'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
Victor Mugabi Wanyama, ni jina kubwa sana kwa ukanda huu wa Afrika ya Mashariki katika michezo.
Amejizolea umaarufu kama mmoja kati ya viungo bora wakabaji katika EPL kwa misimu kadhaa akiwa na Southampton kisha Spurs. Kila mmoja anajua uwezo mkubwa alionao kiungo huyu kutoka Kenya.
Kwa misimu miwili ya hivi karibuni amekuwa mchezaji wa kuwekwa benchi na kuingia dakika 10 za mwisho za.mchezo. Amekuwa akiwekwa benchi na wachezaji kama Moussa Sissoko, Eric Dier na hata wakati mwingine bwana mdogo kutoka akademi ya Spurs, Harry Winks.
Je, majeraha aliyopata kipindi cha nyuma yamegharimu nafasi yake kikosini? Je hafiti katika mfumo wa kocha Pochetinno? Au ndio uzee ushamkuta? Hivyo anashindwa kuendana na kasi ya ligi?
Karibuni kwa mjadala!
Nikipind kile yupo celticMkuu nakumbuka kuna kipindi wenger alimlilia sanaa sijui iliishia wap
13SEPTEMBER