Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,387
- 289,513
utawaona kampeni za uchaguzi zitakapoanza mkuu usiwe na waswas .Mwaka mmoja baada ya kutoka jela ndio kapotea kabisa kwenye ramani , hasikiki , havumi na ameadimika mithili ya kuadimika kwa Chumvi mwaka 1983 ( watu wa zamani mtakumbuka jinsi watu walivyotumia magadi badala ya chumvi kuungia mchuzi )
Walipotolewa gerezani kinyume cha sheria ( mbakaji hana msamaha ) waliamua kujitolea kuisifu serikali na ccm bila mafanikio mithili ya kuupaka rangi upepo , walipogundua haiwezekani wakatoweka !
Wamejifungia wanaandaa mashairi ya kuisifu ccm na mtukufu rais. Subiri kampeni zianze 2020 utawaonaMwaka mmoja baada ya kutoka jela ndio kapotea kabisa kwenye ramani , hasikiki , havumi na ameadimika mithili ya kuadimika kwa Chumvi mwaka 1983 ( watu wa zamani mtakumbuka jinsi watu walivyotumia magadi badala ya chumvi kuungia mchuzi )
Walipotolewa gerezani kinyume cha sheria ( mbakaji hana msamaha ) waliamua kujitolea kuisifu serikali na ccm bila mafanikio mithili ya kuupaka rangi upepo , walipogundua haiwezekani wakatoweka !
Mwaka mmoja baada ya kutoka jela ndio kapotea kabisa kwenye ramani , hasikiki , havumi na ameadimika mithili ya kuadimika kwa Chumvi mwaka 1983 ( watu wa zamani mtakumbuka jinsi watu walivyotumia magadi badala ya chumvi kuungia mchuzi )
Walipotolewa gerezani kinyume cha sheria ( mbakaji hana msamaha ) waliamua kujitolea kuisifu serikali na ccm bila mafanikio mithili ya kuupaka rangi upepo , walipogundua haiwezekani wakatoweka !
Unamaanisha mqoundou??!!Njia ya choo hua inasafishika? Maana kila ikitumika tu kosa!
Hii mijitu ina matatizo makubwa sana walahiMmemgeukia babu seya tena?