Nini kimeikuta 10 Bet?

Nini kimeikuta 10 Bet?

The Whistleblower

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2022
Posts
269
Reaction score
458
Kampuni ya Betting ya 10 Bet imefungwa ghafla na inaondoka Tanzania.

Sijui ni kitu gani kipo nyuma ya hili jambo.

Tafadhali tujadili.
 
Makampuni ya kamali ni LAANA KWA TAIFA.

Mungu uwasamehe kwani HAWAJUI walitendalo.
 
Makampuni ya kamali ni LAANA KWA TAIFA.

Mungu uwasamehe kwani HAWAJUI walitendalo.
Unasema makampuni ya kamari ni laana wakat Vijana wanaobet kwenye kila mkeka wanalipa Kodi wewe je unalipa Nini kwa siku kama mchango kwa Taifa?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom