elmagnifico
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 8,260
- 9,747
Ulienda kufanya nini?B hits aliweka bei maalum kama huna pesa hiyo pita mbele ndo wasanii wakamkimbia
Mimi nilienda pale nikiwa na laki nne jamaa akanitosa, nikaenda kwa MJ wakanambia laki saba
Sent using Jamii Forums mobile app
Ana record kwa kiasi ganiB hits aliweka bei maalum kama huna pesa hiyo pita mbele ndo wasanii wakamkimbia
Mimi nilienda pale nikiwa na laki nne jamaa akanitosa, nikaenda kwa MJ wakanambia laki saba
Sent using Jamii Forums mobile app
B hits aliweka bei maalum kama huna pesa hiyo pita mbele ndo wasanii wakamkimbia
Mimi nilienda pale nikiwa na laki nne jamaa akanitosa, nikaenda kwa MJ wakanambia laki saba
Sent using Jamii Forums mobile app
Nduguyangu ulifanikiwa kurekodi hiyo singo?[emoji23]B hits aliweka bei maalum kama huna pesa hiyo pita mbele ndo wasanii wakamkimbia
Mimi nilienda pale nikiwa na laki nne jamaa akanitosa, nikaenda kwa MJ wakanambia laki saba
Sent using Jamii Forums mobile app
Ana recod kwa milion mkuu, sema kwa sisi wasanii wachanga hiz production kubwa zinatubania sana, ukiangalia upande wa wasanii wakubwa huwa wanarecod bure mara nyingi ili kuitangaza studioAna record kwa kiasi gani
Nasikia hawa wasanii wakubwa wanapenda warekodi bure mtu akiwambia ela ya kueleweka basi wanahamia kwingine
Sema jamaa wako vizur kwa production bit zao ni nzito sanani kweli kabisa. pia wana mwanasheria wao ikitokea ukaperform wimbo wao wowote bila kupitia mkataba wao wa kurecord pale ilikuwa unashtakiwa.
Hapana mkuu sijarecod hela yangu ilipelea, lakin saiv niko mbion nataka niende kwa mona au marco chal
Ni kweli mkuu lakin kwa msanii mchanga usikimbikie vistudio vya uchochoron, tafuta situdio kubwa ili ikusaidie kutoka, studio kubwa hata kupata colabo na msanii mkubwa ni simple sanaStudio sikuhizi hazina dili, ukikataa kurekodi kwa laki 2 msanii anaenda kwingine anapiga hit kali kwa laki tu, ndio maana maproducer wanabaki maskini, msanii wimbo mmoja anaweza kutengeneza milioni 30, producer akaambulia laki 2 tu ya kurekodi
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa anataka hela nyingi lakin sema ana conection kubwa sanaHermy b alkua na sera nzuri icpokua kwa bongo muda wake bado ndo kilichowakimbiza wasanii wengi, ila ubora wa production upo
Ana recod kwa milion mkuu, sema kwa sisi wasanii wachanga hiz production kubwa zinatubania sana, ukiangalia upande wa wasanii wakubwa huwa wanarecod bure mara nyingi ili kuitangaza studio
Sent using Jamii Forums mobile app
Haiko hivo mkuu wasanii wachanga tunabaniwa sana tofaut na wakubwa, hiz studio hazijui kuwatoa wasanii wachanga wenyewe wanapenda wale walio juu ambao washatokaAlienacho anaongezewa asie nacho ananyang'anywa ata kidogo alicho nacho.
Nilijua wasanii wachanga ndo wanarekodiwa bure kwasababu wengi wao hawana hela.