Nini kifanyike?

na kweli shosti, ila hata mimi plan ilikua amalize la saba nimpeleke boarding, ila atasoma tu uko uko bukoba make zipo tu shule nzuri, na tangia hapo anasoma shule nzuri
 
Bibi yake anaweza kumlea unamleta kwako wa nn? Huyo mme anakwepa vingi wakati mwingine kama ni ka binti ipo cku kakikua atatamani kukachombeza bila kujali udugu uliopo wewe chill wala usihangaike nae msaada unaweza ukatolewa hata kama huishi nae ,angalia huyo mtoto asiwe chanzo cha kuvuruga ndoa yenu mliyojaliwa, msaidie akiwa na bibi yake bado utaonekana wa maana na unajali usilazimishe mambo mme wako hataki na ana sababu za kiundani zaidi ya hizo alizokutajia, be care.
 
huyo mume ana ubinafsi.yeye mwenyewe alishawahi kulelewa kwa nini na yeye asiwe na utu wa kulea?tena mtoto yatima?juu ya yote matumizi mtasaidiwa.anyway kama hataki ni bora huyo mtoto akae huko huko,asije akaja kwenu akafanyiwa visa
 
Kama mama yako anauwezo wa kumuhudumia kwa kila kitu kwanini aje kuishi na nyinyi?
 
Jamani tuache unafiki kwenye hili, akina mama walioolewa kila siku mnakuja hapa mnalalamika ohh wifi kanitukana, mara sijui shemeji nae ananituma utadhani mie mkewe na mengine mengi tu. Je kasheshe za hao ndugu mnaowajaza majumbani mwenu huwa hamzioni?? Hebu kaa na familia yako ndugu wasaidiwe huko huko waliko. Si ajabu wewe utaleta mtoto wa dada nae ataleta shemeji itakuwa nyumba hiyo. kama hujarudi tena hapa kuomba ushauri. kaa mbali na ndugu ndani ya ndoa yako.
 
Kma roho ndio hyo basi ur husband ni selfish to the maximum,ktk maisha yngu nmelelewa na pande 2 yaan kwa baba na mama,na pande zote nmeona ni jinsi gani ndgu wmekuwa wkiingia nakutoka pasipo wazazi wngu kulalamikiana wala kukwaruzana kwa imani ya kuwa amdahniae ndie kumbe sie katka dunia hii humjuia ni nani atakae kufaa ww na kma c ww bali hta hao nduguzo kwani dunia ni duara,back 2 the topic,Akukataliae jambo c lazma akwambie ctaki bali majbu na matendo yke vtakpa jbu tosha dada angu,pole na yote ila hayo ndo maisha.
 
kutoa ni moyo co utajiri...kama uwezo wa kukaa nae upo coni tabu hapo mumeo yuko na ubinafsi kitu ambacho c kizuri katika mahucano n ubinafsi unaeza vunja hata ndoa...kipato kidogo hajui kama kipato kikiongezeka na majukumu huongezeka so akingoja hela zwe nying hatasaidia ndugu.co msaidiaji huyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…