Nini kazi ya Nyonyo/Chuchu/Matiti kwa jinsia ya kiume?

Ushimen

JF-Expert Member
Oct 24, 2012
39,981
96,236
Hapa nimemaliza kula ugali, mara nikata wazo la ghafla.
Kama hatunyonyeshi...!!
Nini kazi ya matiti au nyonyo, au chuchu kifuani mwa jinsia ya kiume?
Karibuni tujadili...
 
Wewe nafikiri elimu ya biologia imekupita kushoto
Hivyo ni vigumu kuelewa elimu hii...kwa haraka
Ki msingi...tukiwa tumboni kwa mama zetu wapendwa..wote tunafanana...stage by stage ndio viungo vingine vinakuwa dominant...na vingine Kama chuchu za kiume zina bakia kama Alama tu
 
Kweli inilinipa kushoto mkuu
Asante kwa elimu ulionipa kidogo
 
Ni suala la kibaiolojia tu kwamba tunatofautiana sehemu chache na wanawake. Na kubadili vigumu.
 
Hapa nimemaliza kula ugali, mara nikata wazo la ghafla.
Kama hatunyonyeshi...!!
Nini kazi ya matiti au nyonyo, au chuchu kifuani mwa jinsia ya kiume?
Karibuni tujadili...
Zinakazi nyingi sana, katika mapenzi wengine wanajisikia raha wanavyonyonywa chuchu na wapesi wao inapeleka electrical shocks within the body na kuchochoe hamu ya kuduu
 
Ni suala la kibaiolojia tu kwamba tunatofautiana sehemu chache na wanawake. Na kubadili vigumu.
Mkuu....
Ndipo hapo naomba unieleweshe kwanini sisi wanaume tunavyo wiwele na kazi yake ni nini hasa?
Na kama kubadili ukisema kubadili ni vigumu, Je wanaume tuliumbiwa viwele kimakosa?
 
Zinakazi nyingi sana, katika mapenzi wengine wanajisikia raha wanavyonyonywa chuchu na wapesi wao inapeleka electrical shocks within the body na kuchochoe hamu ya kuduu
Mkuu....
Kwaivyo kazi mojawapo ya mwanaume kua na viwele ni kunyonywa na hata uhabidisha hisia za mwili na kua kama electrical switch
 
Zama kwenye sala umdadisi mola maana wazo lake ilo kama designer wa shape ya binaadamu
 
Back
Top Bottom