MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,801
hasa wa kitanzania kuwa mwepesi katika kukata kiuno akiwa anacheza mziki au ngoma au kudatika na mlio fulani lakini binti au mwanamke huyo huyo ukiwa nae kitandani katika suala zima la kufanya mapenzi ( kungonoka ) anakuwa hawezi huku akiishia tu kulalamika kuwa unamkandamiza au unamnyima pumzi?
kuna mdada mmoja maarufu sana kwa kucheza ngoma za mdundiko huku mbagala kwetu na ambaye anakatika pengine hata kuliko wale wacheza show wa bendi za kikongo au anamzidi hata hayati aisha madinda kwa kuyakata mauno anaitwa binti USINICHEZEE UTAUMIA nimetoka kupumzika nae muda si punde lakini cha kushangaza sikuona yale manjonjo yake zaidi tu ya kila mara nikimtizama machoni naona anatokwa tu na machozi na anagumia kama vile watu tukiwa haja kubwa chooni huku moyo wake ukienda mbio na akipumua kwa juu juu na nimemwacha bado kalala. kifupi hajanifurahisha kwani nilichomtafutia ni yale mauno yake tu kwani awapo stejini hunifanya hata nisimtamani mke wangu aitwae MALIZA ONDOKA.
je kuna mwenzangu yoyote labda aliyewahi kukumbana na adha kama hii yangu? karibu tujumuike katika kupeana maujuzi.