Nini hiki na kinatumikaje?

Mentality ya kimaskini na kijinga hiyo kujibu kitu usichokuwa nauelewa nacho
Jibu swali acha Shombo.

Wewe ungekuwa muelewa usingetuletea humu Kutaka kukijuwa.

Na kwa utajiri gani iliokuwa nao makochi ya kishamba yamechanika hvyo.
 
Nafikiri kama una headphones
na hicho chombo kinatumika kama wireless headphones

Tafuta headphone zake na mchezo umeisha

Ila kama hauna headphone haitakuwa na faida kwako
 
Bluetooth speaker. Ila weka na picha ya mbele itapendeza



Lunatic
 
Jamaa kumbe ameuliza huku akiwa na jibu lake maalumu analongojea... maana naona watu wanajibu anawahainisha vikali!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…