Matatizo kule yamekwisha. Wanataka kutangaza tarehe mpya ya Uchaguzi.Matatizo yamekwisha lakini sisi wanatuambia kwamba wanafanya majadiliano. Mimi nadhani JWTZ ndio tatizo. Mimi nimewahi kumsikia kiongozi mkuu wa jeshi akisema kwamba Zanzibar yakitokea maasi itakuwa very difficult kukabili. Mimi nadhani kukiwa na mazungumzo yanayowahusisha wanajeshi na wanasiasa,inaweza kupatikana ufumbuzi. UN haiwezi kusaidia. Au watu wowote wa nje. Wao wanaweza kusaidia kutekeleza jambo lililoafikiwa. Kama Jecha amekasirika kwamba Maalim Seif ametangaza matokeo bila ruhusa.basi Jecha awe appeased,na siyo aadhibiwe kama wengine wanavyosema,halafu aagizwe kutangaza matokeo. Kwa sababu delay inaleta hali ya wasi wasi. Ideal hapa ingekuwa Rais aapishwe leo halafu kesho amtaje Waziri. Mkuu au at least katika week end amtaje Waziri Mkuu baada ya kudurusu sifa za wagombea.
''Nimeridhika kwamba uchaguzi huu haukiwa wa haki na kuna ukiukwaji mkubwa wa sheria na taratibu za uchaguzi," amesema Bw Jecha."Hivyo, kwa uwezo nilionao natangaza rasmi kwamba uchaguzi huu na matokeo yake yote yamefutwa na kwamba kuna haja ya kurudia uchaguzi huu."
Mara hii umesahau mkuu hilo tamko?
Mkuu nmesoma post yako hakika inatia uchungu na cha kusikitisha zaid naangalia jins viongoz wetu wa kiimani walivyojaa unafki na wanajifanya kuomba kana kwamba hawajui kilichotokea kwny huu uchaguz na wala sijasikia kiongoz yyte akizungumzia hili,sijui huyu Mungu anayekubali udhalimu huu ni yupi,tuendelee kumuomba naamin anasikia kilio chetu naye hujibu kwa wakat muafaka.
Ndiyo maana ninasema kiongozi ye yote wa dini aliyealikwa na kwenda kuomba ni mnafiki na msaka tonge tu wa kawaida. Hivi walikuwa wapi kukemea uovu wa wazi uliokuwa unatendeka? Wanadhani Mungu anadhihakiwa. Wanasubiri sasa kuteuliwa makamishna kwenye taasisi mbalimbali pamoja na kualikwa ikulu kunywa na kula. Shame upon their faces.
kikwete si amirijeshi mkuuKwa maana yako hio ni kwamba Kikwete ndio tatizo Zanzibar. Kikwete ndie amiri jeshi mkuu na ni yeye ndie aliepeleka jeshi kule. Tumeshuhudia vifaru na nguvu kubwa ya kijeshi ikielekezwa visiwani. Kikwete ni mwenyekiti wa CCM na Rais wa JMT. Tusifanye kuzungumka mbuyu hapa, ina maana root souce ya matatizo ya Zanzibar ni CCM.
Ni kweli kabisa tatizo la zanzibar ni Ufashisti wa Watawala. Watawala hapa ni CCM!
WatawalaKule Zanzibar kwamba wameshindwa kisiasa na wanajaribu kutumia nguvu na mabavu kutawala ile nchi.
Watawala kule wanatumia vyombo vya dola (Polisi na Vikosi vya SMZ) kuwanyanyasa wananchi kwa kisingizio cha upinzani. Watawala wa Zanzibar wanawaona wapinzani ni sawa na mahaini!
Kwao kuvunja katiba ama kuua raia ni jambo dogo sana.
Watawala Zanzibar wanataka dunia nzima iamini ya kwamba vile visiwa ni mali yao ! na hakuna mtu mwengine anaeweza kuongoza Wazanzibari isipokuwa awe ni mwana CCM! Hilo ndio tatizo kubwa la zanzibar
kama unaweza kupata ombi alilo omba Askofu malasusa hebu lisikie vizuri mkuu kuna message kali sanaNdiyo maana ninasema kiongozi ye yote wa dini aliyealikwa na kwenda kuomba ni mnafiki na msaka tonge tu wa kawaida. Hivi walikuwa wapi kukemea uovu wa wazi uliokuwa unatendeka? Wanadhani Mungu anadhihakiwa. Wanasubiri sasa kuteuliwa makamishna kwenye taasisi mbalimbali pamoja na kualikwa ikulu kunywa na kula. Shame upon their faces.