Prem no iko hapo kwenye jina ukiangalia vizuri,watoto hawajafutiwa mtihani ila shule ndiyo imefutiwa vituo mpaka hapo baraza litakapojiridhisha kuwa kituo kipo salama kwa ajili ya mtihani ujao,kwa maana hiyo wale wote walioandikiwa W matokeo yao watapewa.Naomba kuuliza na kupata ufafanuzi hivi mtoto katika hili suala la wizi wa mitihani anaingiaje. Je mtoto anasaidikaje maana kosa lake silioni
Mtoto kasoma zaid ya miak kum leo unamfutia matokeo je nini hatima yake
Na kipi kifanyike ili kuwasaidia watoto maana wazazi pia wametumia ada hawahusiki na hili.
Nisaidien kama wanaweza kwenda secondary na kama wanaweza wanaendaje bila matokeo na kama wataenda private je prem wanatoa wap
Prem no iko hapo column ya pili mkuuNaomba kuuliza na kupata ufafanuzi hivi mtoto katika hili suala la wizi wa mitihani anaingiaje. Je mtoto anasaidikaje maana kosa lake silioni
Mtoto kasoma zaid ya miak kum leo unamfutia matokeo je nini hatima yake
Na kipi kifanyike ili kuwasaidia watoto maana wazazi pia wametumia ada hawahusiki na hili.
Nisaidien kama wanaweza kwenda secondary na kama wanaweza wanaendaje bila matokeo na kama wataenda private je prem wanatoa wap
Kwanini wakati watoto nao wamehusika kuibia mitihani?Hili jambo limenikera mno, kesho ningekuwa na mamlaka wote wangepanda Kisutu wajibu mashtaka
Prem no iko hapo kwenye jina ukiangalia vizuri,watoto hawajafutiwa mtihani ila shule ndiyo imefutiwa vituo mpaka hapo baraza litakapojiridhisha kuwa kituo kipo salama kwa ajili ya mtihani ujao,kwa maana hiyo wale wote walioandikiwa W matokeo yao watapewa.
Iko mkoa wa mara wilaya ya TARIMEHEAGTON PRE AND PREMARY YAIBUKA KIDEDEA KWA WASTANI WA 296.1538 wana historia nzuri maana wao hata graduation hawanaga kwao ni MAOMBI WATOTO HUFUNGA WIKI NZIMA WAKIOMBA pia shule waliimu wamebobea kwa ufundishaji ..View attachment 2432952
Si nimesema lakini waliohusika? Kama nao wanahusika watapanda, Haya watoto wamefutiwa matokeo, Walimu nao wanalipia gharama gani??Kwanini wakati watoto nao wamehusika kuibia mitihani?